Sativa amezungumza mengi kuhusu waliomteka. Je, nani amefikishwa mbele ya sheria mpaka sasa?

Sativa amezungumza mengi kuhusu waliomteka. Je, nani amefikishwa mbele ya sheria mpaka sasa?

LAKINI MTU KAMA UNAUSHAHIDI USIO TIA SHAKA KWANINI HAFUNGUI KESI? MAWAKILI WAPO WAKUTOSHA AMFUNGULIE KESI YA UTEKAJI WAKAPAMBANE KWENYE SHERIA SIYO KUJA KULALAMIKA TU HUKU MAJUKWAANI FUNGUA KESI MUENDE MAHAKAMANI
Mahakama hizi alizosema Rostam??
 
Mpaka ureport polisi? Wao wenyewe hawaoni? Yaani Jambazi akivamia kwako polisi hawapaswi kukulinda na kufuatilia tukio mpaka ukareport kwamba umeuwawa?
Wasipochukua hatua polisi wewe unakaa kimya? Sativa aende polisi na kufungua kesi tofauti na hapo tunapoteza muda kamanda
 
Ukifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki

Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusu wahusika? Wengi wanatajwa mf. Mafwele, Je, ameshafikishwa kwenye vyombo husika?

Vyombo vya ulinzi na usalama vinatoa ushirikiano kiasi gani na mhusika katika kuhakikisha linawapata wale wote waliohusika?

Mambo kama haya ndiyo yanayoibua mashaka juu ya uhusika wa matukio haya na vyombo vya ulinzi na usalama.

HAKI HAIPOTEI
Eti katekwa na HILLARI.
 
Sativa ni mtu wa hovyo tu
 
JF unatakiwa ujue una mjibu nani otherwise utamaliza eneji yako bure. Mtu mzima asiyejua kuwa jinai sio lazima victim airipoti utamuelewesha hadi lini?

🗑️
 
Kwanza Sativa ni nani maana tumekua tunasikia tu sativa sativa sativa. Mimi kwanza naamini maneno ya mkuu wa jeshi kwamba Sativa alipozinduka huko Katvi alikopelekwa na kutupwa alisema alitekwa na washikaji. Clip yenye hiyo kauli yake ya kwanza ingechezwa na kuchezwa mara nyingi. Nafikiri kuna kitu kinaendlea cha uhalifu nchini kisha wanasiasa wa upinzani wanarukia kunafaika kisiasa. Huenda polisi wanajua na pengine wanashiriki ndio maana wahalifu hao hawakamatwi. Kina Sativa huenda ni wafanya biashara wa mihadarati. Tunajua hiyo biashara ilipigwa vita na kupungua sana awamu ya tano lakini sasa kwenye awamu ya sita imerejea tena wahusika wanalindwa na kusindikizwa badala ya kushikwa. Ndio maana hatuikii tena vita dhidi ya madawa ya kulevya. Hapo nimekuja na kufikirika hebu chambueni kwa mtazamo huo. Haiwezekani eti watu wanatekwa wengi hawana umashuhuri wowote kwenye jamii ila wakishatekwa unasikia chama fulani watakwambia eti ooh alikua mwanachama wetu, ooh likua katibu wetu wa mtaa.
Haijalishi wanasiasa wamenufaika au la, cha muhimu vyombo vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya uchunguzi na kuja na majibu, Bila kujali kama mhusika anatoa ushirikiano au la.
 
Yeye keshamjua muhusika aliyemteka aende akafungue mashtaka!
Kwanini aende akafungue mashtaka? Polisi haijui wajibu wake? Umeshaona eti mtu anauwawa alafu waombolezaji anashauriwa waende kufungua kesi dhidi ya muuaji? Hiyo ni kazi ya Jamhuri, kulinda raia na mali zake. Asipofunguliwa maana yake kesho ataleta madhara zaidi kwenye jamii
 
Kama ana ushahidi aende mahakamani , wataitwa Kwa mjibu wa Sheria
 
Ukifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki

Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusu wahusika? Wengi wanatajwa mf. Mafwele, Je, ameshafikishwa kwenye vyombo husika?

Vyombo vya ulinzi na usalama vinatoa ushirikiano kiasi gani na mhusika katika kuhakikisha linawapata wale wote waliohusika?

Mambo kama haya ndiyo yanayoibua mashaka juu ya uhusika wa matukio haya na vyombo vya ulinzi na usalama.

HAKI HAIPOTEI
SATIVA kamezeshwa kaseti - ni mchezo wa kuigiza
 
Haijalishi wanasiasa wamenufaika au la, cha muhimu vyombo vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya uchunguzi na kuja na majibu, Bila kujali kama mhusika anatoa ushirikiano au la.
Hivi Sativa amefungua shauri mahakamani?
 
Sativa amesema aliteswa kwenye Moja ya karakana inayomilikiwa na vyombo vya usalama so tumia akili jamaangu ,nenda na step
 
Back
Top Bottom