Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Nadhani mawakili wake wapo wanapambana stay tuned, they are building the case, (gathering facts), kumbuka watekaji na wauaji wana vikosi maalum na imaraUkifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki
Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusu wahusika? Wengi wanatajwa mf. Mafwele, Je, ameshafikishwa kwenye vyombo husika? Vyombo vya ulinzi na usalama vinatoa ushirikiano kiasi gani na mhusika katika kuhakikisha linawapata wale wote waliohusika?
Mambo kama haya ndiyo yanayoibua mashaka juu ya uhusika wa matukio haya na vyombo vya ulinzi na usalama.
HAKI HAIPOTEI
Amekwenda kuripoti polisi?Ukifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki
Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusu wahusika? Wengi wanatajwa mf. Mafwele, Je, ameshafikishwa kwenye vyombo husika? Vyombo vya ulinzi na usalama vinatoa ushirikiano kiasi gani na mhusika katika kuhakikisha linawapata wale wote waliohusika?
Mambo kama haya ndiyo yanayoibua mashaka juu ya uhusika wa matukio haya na vyombo vya ulinzi na usalama.
HAKI HAIPOTEI
Hebu Leteni post za sativa humu kabla ya kutekwaUkifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki
Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusu wahusika? Wengi wanatajwa mf. Mafwele, Je, ameshafikishwa kwenye vyombo husika? Vyombo vya ulinzi na usalama vinatoa ushirikiano kiasi gani na mhusika katika kuhakikisha linawapata wale wote waliohusika?
Mambo kama haya ndiyo yanayoibua mashaka juu ya uhusika wa matukio haya na vyombo vya ulinzi na usalama.
HAKI HAIPOTEI
Mpaka ureport polisi? Wao wenyewe hawaoni? Yaani Jambazi akivamia kwako polisi hawapaswi kukulinda na kufuatilia tukio mpaka ukareport kwamba umeuwawa?Amekwenda kuripoti polisi?
Hakuna ambae atapelekwa mahakamani, thats how systems protects itselfUkifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki
Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusu wahusika? Wengi wanatajwa mf. Mafwele, Je, ameshafikishwa kwenye vyombo husika? Vyombo vya ulinzi na usalama vinatoa ushirikiano kiasi gani na mhusika katika kuhakikisha linawapata wale wote waliohusika?
Mambo kama haya ndiyo yanayoibua mashaka juu ya uhusika wa matukio haya na vyombo vya ulinzi na usalama.
HAKI HAIPOTEI
Polisi kwa hapa nyumbani wapo juu ya katiba,si sheria tu. Wanaweza kufanya lolote bila kuhojiwa na mamlaka yoyoteUkifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki
Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusu wahusika? Wengi wanatajwa mf. Mafwele, Je, ameshafikishwa kwenye vyombo husika? Vyombo vya ulinzi na usalama vinatoa ushirikiano kiasi gani na mhusika katika kuhakikisha linawapata wale wote waliohusika?
Mambo kama haya ndiyo yanayoibua mashaka juu ya uhusika wa matukio haya na vyombo vya ulinzi na usalama.
HAKI HAIPOTEI
Kuvua nguo bado haitoshi, wahusika wanapaswa kufahamika na kuchukuliwa hatua za kisheriaIssue ya Sativa imewavua nguo "TANIPORI."
Kuvua nguo bado haitoshi, wahusika wanapaswa kufahamika na kuchukuliwa hatua za kisheria
Ukiuwawa utaripoti vipi nawe ni maiti!Mpaka ureport polisi? Wao wenyewe hawaoni? Yaani Jambazi akivamia kwako polisi hawapaswi kukulinda na kufuatilia tukio mpaka ukareport kwamba umeuwawa?
Nilijua utakariri!Polisi wapi hao au huyu??
View attachment 3120512
Hiyo ndiyo point ninayoizungumzia. Ni jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama kulinda raia na mali zao, hata usipotoa ushirikiano wanapaswa kuwajibika. Hata Tundu Lisu alipopigwa risasi wakasema hawajachukua hatua yoyote kutokana na mhusika(TL) kukataa kutoa ushirikiano si sahihi.Ukiuwawa utaripoti vipi nawe ni maiti!
Huyu ni kiumbe wa hatari sana kama nyoka ni wa kupondwa kichwa hadi afe.Polisi wapi hao au huyu??
View attachment 3120512
Sio kweli. Inategemea na maagizo yalikuwa vipi. Wapo polisi wengi wamafungwa kwa kufanya makosa kama hayo ikiwa ni wao walijiamria wenyewe. Rejea wale wa Tanga, wale maafisa wa mtwara waliomteka yule kijana wa madini, rejea ya kina zombe, bageni and co. Ukiona kimya ujue walipata maagizoPolisi kwa hapa nyumbani wapo juu ya katiba,si sheria tu. Wanaweza kufanya lolote bila kuhojiwa na mamlaka yoyote
LAKINI MTU KAMA UNAUSHAHIDI USIO TIA SHAKA KWANINI HAFUNGUI KESI? MAWAKILI WAPO WAKUTOSHA AMFUNGULIE KESI YA UTEKAJI WAKAPAMBANE KWENYE SHERIA SIYO KUJA KULALAMIKA TU HUKU MAJUKWAANI FUNGUA KESI MUENDE MAHAKAMANIUkifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki
Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusu wahusika? Wengi wanatajwa mf. Mafwele, Je, ameshafikishwa kwenye vyombo husika?
Vyombo vya ulinzi na usalama vinatoa ushirikiano kiasi gani na mhusika katika kuhakikisha linawapata wale wote waliohusika?