Sativa amezungumza mengi kuhusu waliomteka. Je, nani amefikishwa mbele ya sheria mpaka sasa?

LAKINI MTU KAMA UNAUSHAHIDI USIO TIA SHAKA KWANINI HAFUNGUI KESI? MAWAKILI WAPO WAKUTOSHA AMFUNGULIE KESI YA UTEKAJI WAKAPAMBANE KWENYE SHERIA SIYO KUJA KULALAMIKA TU HUKU MAJUKWAANI FUNGUA KESI MUENDE MAHAKAMANI
Mahakama hizi alizosema Rostam??
 
Mpaka ureport polisi? Wao wenyewe hawaoni? Yaani Jambazi akivamia kwako polisi hawapaswi kukulinda na kufuatilia tukio mpaka ukareport kwamba umeuwawa?
Wasipochukua hatua polisi wewe unakaa kimya? Sativa aende polisi na kufungua kesi tofauti na hapo tunapoteza muda kamanda
 
Eti katekwa na HILLARI.
 
Sativa ni mtu wa hovyo tu
 
JF unatakiwa ujue una mjibu nani otherwise utamaliza eneji yako bure. Mtu mzima asiyejua kuwa jinai sio lazima victim airipoti utamuelewesha hadi lini?

🗑️
 
Haijalishi wanasiasa wamenufaika au la, cha muhimu vyombo vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya uchunguzi na kuja na majibu, Bila kujali kama mhusika anatoa ushirikiano au la.
 
Yeye keshamjua muhusika aliyemteka aende akafungue mashtaka!
Kwanini aende akafungue mashtaka? Polisi haijui wajibu wake? Umeshaona eti mtu anauwawa alafu waombolezaji anashauriwa waende kufungua kesi dhidi ya muuaji? Hiyo ni kazi ya Jamhuri, kulinda raia na mali zake. Asipofunguliwa maana yake kesho ataleta madhara zaidi kwenye jamii
 
Kama ana ushahidi aende mahakamani , wataitwa Kwa mjibu wa Sheria
 
SATIVA kamezeshwa kaseti - ni mchezo wa kuigiza
 
Haijalishi wanasiasa wamenufaika au la, cha muhimu vyombo vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya uchunguzi na kuja na majibu, Bila kujali kama mhusika anatoa ushirikiano au la.
Hivi Sativa amefungua shauri mahakamani?
 
Sativa amesema aliteswa kwenye Moja ya karakana inayomilikiwa na vyombo vya usalama so tumia akili jamaangu ,nenda na step
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…