Sativa amezungumza mengi kuhusu waliomteka. Je, nani amefikishwa mbele ya sheria mpaka sasa?

Mtekaji achunguze utekaji?

Mtekaji amkamate mtekaji na kumpeleka mahakamani?
 
Mpaka achinjwe mumeo ndiyo mshituke?
Kwanza sina mme; pili wewe ukiacha ukasuku unalishwa na Robert Amsterdam huna ujualo, siyo tishio hata kwa sisimizi kama walivyo wale vyambo vyenu akina soka na sativa. Tafuteni hela tu kwa view na like nyingi kwenye YOUTUBE ili mpate hela ya bangi na Kvant
 


Tuna Mama tekateka serikalini
 
He survived to tell the tale. Uzuri internet haisahau.
 
LAKINI MTU KAMA UNAUSHAHIDI USIO TIA SHAKA KWANINI HAFUNGUI KESI? MAWAKILI WAPO WAKUTOSHA AMFUNGULIE KESI YA UTEKAJI WAKAPAMBANE KWENYE SHERIA SIYO KUJA KULALAMIKA TU HUKU MAJUKWAANI FUNGUA KESI MUENDE MAHAKAMANI
Kesi zingine mbona serikali inazibeba bila kusubiri mawakili?
 
Kitu mbacho tunatakiwa kukifahamu Tanzania hii, ni kuwa kuna watu ambao wanalincwa kisheria kuchukulia hatua kishetia.

Uchunguzi ukifikia hapo elelwa kuwa ndiyo hakuna namna, labda sheria zibadilishwe.

Tuwe wepesi kuelewa, kuwa kuna sheria zinawalinda wasiojulikana na zimepitishwa bungeni. Pia kuna sheria zinazowalinda wanaopambana na ugaidi.

Zibadili hizo sheria ndiyo uanze kulalamika.
 
Hakuna kitu hapa......unga mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…