Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Mungu Fariji waliopoteza Ndugu, Mungu fariji Watanzania.
Hili limeniumiza sana....
Ni sawa lakini tujaribu kulinda hawa vijana vijana wengi wamepoteza maisha wanaharakati waache kutumia vijanaItajulikana kule ICC mkuu
Bro jikite kwenye mada achana na matusi hayakusaidi ila hapa tunajaribu kuchambua kila mtu kwa mtazamo wake na maono yake na jinsi gani alivyo lichukulia hili jamboUngejikita kwenye mapochopocho tu na kupelekewa moto. Mada hizi nzito nzito huziwezi. Waandamanaji ni maroboti yanayomsikiliza huyo Sativa bila kufikiri?
Kwa nini watu wameandamana? Kwa nini walikuwa/wana hasira? Nini kifanyike? Bila kugusia haya maswali; na kuelekeza lawama kwa Sativa ni uandunje wa fikra.
Lete mada za mapishi please! 🚮
Yote hayo hayahalalishi mamluki wa Samia kupita kwenye makazi ya watu na kuwafyatulia watu risasi. Watu ambao hata walikuwa hawaandamani.Mwanzo maandamano yalikuwa yana enda vizuri watu haku fanya uharibu lakni sativa aliotoa maelekezo kuwa waanze kuchoma vituo vya mwendoksi kisha wakaandika tena mtandaoni watu watembelee vituo vya mafuta na kuchoma, kila mda kwenye account yake alikuwa akitoa taarifa za kuharibu miundombinu na biashara za watu binafsi
Haikutakiwa kuwa ivyo bali yeye ange waambia waandamaji wasiguse mali za watu wal za serikali bali wabaki barabarani ili kuonyesha ni maandamano ya amani mwisho ime tafsiriwa ni uharifu na kupelekea vijana wengi kuanza kupigwa risasi za moto hii ina onyesha hakukuwa na mikakati mizuri
Nimeona clip bodaboda akitoa onyo kwa wenzake kuwa fanyeni maandamano ila msiharibu miundombinu lakin mtandaoni sativa ana hamasisha vijana waende mpaka ikulu wakachome moto ili hali yeye yupo kwake kazi yake kutoa maelekezo mbona hakutoa maelekezo ya raia kujilinda na kuepuka vifo na ulemavu? Matokeo yake leo hii wame waumiza wazazi vijana wamekatishwa ndoto zao kisa watu wachache
Ifike mahali watu tujitafakari leo ina laumiwa serikali lakini pia hawa watu wanaharakati uchwara hawapaswi kutetewa huwezi andaa mission then una shindwa kuwapa watu mbinu za kujilinda sio sawa kabisa
Hakuna cha kujadili hapo. Nasisitiza tena: jikite kwenye upishi 🚮Bro jikite kwenye mada achana na matusi hayakusaidi ila hapa tunajaribu kuchambua kila mtu kwa mtazamo wake na maono yake na jinsi gani alivyo lichukulia hili jambo
Ni kweli ujakosea lakini tukifwata historia ya nyuma kuna mambo mengi yalisha fanyika sana ya ovyo ambayo yana tugharimu mpaka sasaivi kama nchi mbona kizazi chenu hamku chukua hatua ya maandamano mpaka leo mna zeeka why kizazi iki mnataka kukihujumu?Yote hayo hayahalalishi mamluki wa Samia kupita kwenye makazi ya watu na kuwafyatulia watu risasi. Watu ambao hata walikuwa hawaandamani.
*** Samia.
Kwa mtazamo wakoHakuna cha kujadili hapo. Nasisitiza tena: jikite kwenye upishi 🚮
Tupike ugali samaki na mchichaKwa mtazamo wako
so unachambuaje mtazamo wa kila mtu na wakati umeshaconcude kuwa akina Sativa walichochea vurugu? acha upimbi.Bro jikite kwenye mada achana na matusi hayakusaidi ila hapa tunajaribu kuchambua kila mtu kwa mtazamo wake na maono yake na jinsi gani alivyo lichukulia hili jambo
Hata sijaelewa ulichokiandika! Ni ngumu kufanya mjadala na watu wenye uwezo mdogo wa kuelewa na kujieleza.Ni kweli ujakosea lakini tukifwata historia ya nyuma kuna mambo mengi yalisha fanyika sana ya ovyo ambayo yana tugharimu mpaka sasaivi kama nchi mbona kizazi chenu hamku chukua hatua ya maandamano mpaka leo mna zeeka why kizazi iki mnataka kukihujumu?
Haya yanayo endelea sasaivi ni matunda ya yale ninyi wazee wtu mli yapanda misingi mizuri hamkuifanya mwanzo