Mwanzo maandamano yalikuwa yanaenda vizuri watu hawakufanya uharibu lakni sativa alitoa maelekezo kuwa waanze kuchoma vituo vya mwendoksi kisha wakaandika tena mtandaoni watu watembelee vituo vya mafuta na kuchoma, kila muda kwenye account yake alikuwa akitoa taarifa za kuharibu miundombinu na biashara za watu binafsi
Haikutakiwa kuwa hivyo bali yeye angewaambia waandamaji wasiguse mali za watu wala za serikali bali wabaki barabarani ili kuonesha ni maandamano ya amani mwisho imetafsiriwa ni uhalifu na kupelekea vijana wengi kuanza kupigwa risasi za moto, hii inaonyesha hakukuwa na mikakati mizuri
Nimeona clip bodaboda akitoa onyo kwa wenzake kuwa fanyeni maandamano ila msiharibu miundombinu lakini mtandaoni sativa anahamasisha vijana waende mpaka ikulu wakachome moto ili hali yeye yupo kwake kazi yake kutoa maelekezo, mbona hakutoa maelekezo ya raia kujilinda na kuepuka vifo na ulemavu? Matokeo yake leo hii wamewaumiza wazazi vijana wamekatishwa ndoto zao kisa watu wachache
Ifike mahali watu tujitafakari, leo inalaumiwa serikali lakini pia hawa watu wanaharakati uchwara hawapaswi kutetewa huwezi andaa mission then unashindwa kuwapa watu mbinu za kujilinda sio sawa kabisa
huyo jamaa ni bongo nusu! Achana nae!Hata sijaelewa ulichokiandika! Ni ngumu kufanya mjadala na watu wenye uwezo mdogo wa kuelewa na kujieleza.
Wewe jamaa ni bora ukajikita tu kwenye mapishi ili usije ukaunguza. Huu siyo muda wa kulaumu mtu. Kwani hata ingetokea wakaandamana bila ya kuharibu hizo mali, wasinge uwawa?Mwanzo maandamano yalikuwa yanaenda vizuri watu hawakufanya uharibu lakni sativa alitoa maelekezo kuwa waanze kuchoma vituo vya mwendoksi kisha wakaandika tena mtandaoni watu watembelee vituo vya mafuta na kuchoma, kila muda kwenye account yake alikuwa akitoa taarifa za kuharibu miundombinu na biashara za watu binafsi
Haikutakiwa kuwa hivyo bali yeye angewaambia waandamaji wasiguse mali za watu wala za serikali bali wabaki barabarani ili kuonesha ni maandamano ya amani mwisho imetafsiriwa ni uhalifu na kupelekea vijana wengi kuanza kupigwa risasi za moto, hii inaonyesha hakukuwa na mikakati mizuri
Nimeona clip bodaboda akitoa onyo kwa wenzake kuwa fanyeni maandamano ila msiharibu miundombinu lakini mtandaoni sativa anahamasisha vijana waende mpaka ikulu wakachome moto ili hali yeye yupo kwake kazi yake kutoa maelekezo, mbona hakutoa maelekezo ya raia kujilinda na kuepuka vifo na ulemavu? Matokeo yake leo hii wamewaumiza wazazi vijana wamekatishwa ndoto zao kisa watu wachache
Ifike mahali watu tujitafakari, leo inalaumiwa serikali lakini pia hawa watu wanaharakati uchwara hawapaswi kutetewa huwezi andaa mission then unashindwa kuwapa watu mbinu za kujilinda sio sawa kabisa
Bro, Wamekufa watu wengi kabla hata ya haya maandamano.
Nimepoteza ndugu na marafiki 20+ kabla ya uchaguzi pamoja na maandamano😢😢Hili tu ameshindwa kuliona ...SMH!
Nani kawaua hao vijana? Tuanzie hapoNi sawa lakini tujaribu kulinda hawa vijana vijana wengi wamepoteza maisha wanaharakati waache kutumia vijana
Umejuiliza kwanini waliamua kuandamana?Bro jikite kwenye mada achana na matusi hayakusaidi ila hapa tunajaribu kuchambua kila mtu kwa mtazamo wake na maono yake na jinsi gani alivyo lichukulia hili jambo
Matako yako?Mwanzo maandamano yalikuwa yanaenda vizuri watu hawakufanya uharibu lakni sativa alitoa maelekezo kuwa waanze kuchoma vituo vya mwendoksi kisha wakaandika tena mtandaoni watu watembelee vituo vya mafuta na kuchoma, kila muda kwenye account yake alikuwa akitoa taarifa za kuharibu miundombinu na biashara za watu binafsi
Haikutakiwa kuwa hivyo bali yeye angewaambia waandamaji wasiguse mali za watu wala za serikali bali wabaki barabarani ili kuonesha ni maandamano ya amani mwisho imetafsiriwa ni uhalifu na kupelekea vijana wengi kuanza kupigwa risasi za moto, hii inaonyesha hakukuwa na mikakati mizuri
Nimeona clip bodaboda akitoa onyo kwa wenzake kuwa fanyeni maandamano ila msiharibu miundombinu lakini mtandaoni sativa anahamasisha vijana waende mpaka ikulu wakachome moto ili hali yeye yupo kwake kazi yake kutoa maelekezo, mbona hakutoa maelekezo ya raia kujilinda na kuepuka vifo na ulemavu? Matokeo yake leo hii wamewaumiza wazazi vijana wamekatishwa ndoto zao kisa watu wachache
Ifike mahali watu tujitafakari, leo inalaumiwa serikali lakini pia hawa watu wanaharakati uchwara hawapaswi kutetewa huwezi andaa mission then unashindwa kuwapa watu mbinu za kujilinda sio sawa kabisa
Usiangalie nani kasababisha maandamanoNi sawa lakini tujaribu kulinda hawa vijana vijana wengi wamepoteza maisha wanaharakati waache kutumia vijana
Pole Mungu akupe nguvuNimepoteza ndugu na marafiki 20+ kabla ya uchaguzi pamoja na maandamano😢😢
Moyo Wangu unavuja damu hakika ITALIPWA😬