GE2025 Sativa na Nuruvan wamehujumu maandamano na kuonekana ni uhalifu

GE2025 Sativa na Nuruvan wamehujumu maandamano na kuonekana ni uhalifu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ungejikita kwenye mapochopocho tu na kupelekewa moto. Mada hizi nzito nzito huziwezi. Waandamanaji ni maroboti yanayomsikiliza huyo Sativa bila kufikiri? Unajua kuwa vijana hawa wengi wao ni graduates wa vyuo?

Kwa nini watu wameandamana? Kwa nini walikuwa/wana hasira? Nini kifanyike? Bila kugusia haya maswali; na kuelekeza lawama kwa Sativa ni uandunje wa fikra.

Lete mada za mapishi please! 🚮
Fact
 
Yote hayo hayahalalishi mamluki wa Samia kupita kwenye makazi ya watu na kuwafyatulia watu risasi. Watu ambao hata walikuwa hawaandamani.
Unakimbilia kwenye makazi ya watu unaacha ujinga wa kuharibi miundombinu,nimeona clip watu wapo nje usiku kiza wakati palikua na curfew,gizani walikua wanafanya nini!?..kuna kundi lilikua linaenda kwa muliro kuchoma moto,wakakutana na moto,kwa Murilo siyo barabarani ni ndani huko
 
Ni kweli ujakosea lakini tukifwata historia ya nyuma kuna mambo mengi yalisha fanyika sana ya ovyo ambayo yana tugharimu mpaka sasaivi kama nchi mbona kizazi chenu hamku chukua hatua ya maandamano mpaka leo mna zeeka why kizazi iki mnataka kukihujumu?

Haya yanayo endelea sasaivi ni matunda ya yale ninyi wazee wtu mli yapanda misingi mizuri hamkuifanya mwanzo
Mkuu mtandao ulizimwa kabla hata ya maandamano. Sasa hayo maelekezo Sativa alikuwa anayatoaje!?
 
Back
Top Bottom