GE2025 Sativa na Nuruvan wamehujumu maandamano na kuonekana ni uhalifu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Your browser is not able to display this video.
 
We jamaa ilikua ni moja ya watu nawakubali ila kuanzia sasa nyota zote nakutoa. Tukija kwenye mada askar mwenye silaha ya moto kumpiga risasi ya tumbo ama kichwani mtu asiye na silaha wala mafunzo hlo ni sahihi, ushindi wa kura 31m na watanzania tupo kama 60m, zaid ya robo tatu ya wapga kura wamekuchagua lakn unaapishwa jeshini.
We jamaa upumbavu wako ni wa kiwango cha dreamliner.
 
Wewe jamaa ni bora ukajikita tu kwenye mapishi ili usije ukaunguza. Huu siyo muda wa kulaumu mtu. Kwani hata ingetokea wakaandamana bila ya kuharibu hizo mali, wasinge uwawa?
 
Bro jikite kwenye mada achana na matusi hayakusaidi ila hapa tunajaribu kuchambua kila mtu kwa mtazamo wake na maono yake na jinsi gani alivyo lichukulia hili jambo
Umejuiliza kwanini waliamua kuandamana?
 
Matako yako?
 
Nimepoteza ndugu na marafiki 20+ kabla ya uchaguzi pamoja na maandamano😢😢

Moyo Wangu unavuja damu hakika ITALIPWA😬
Pole Mungu akupe nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…