Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,688
Ndo hicho nilichomuuliza huyo dada juu hapoUngejikita kwenye mapochopocho tu na kupelekewa moto. Mada hizi nzito nzito huziwezi. Waandamanaji ni maroboti yanayomsikiliza huyo Sativa bila kufikiri? Unajua kuwa vijana hawa wengi wao ni graduates wa vyuo?
Kwa nini watu wameandamana? Kwa nini walikuwa/wana hasira? Nini kifanyike? Bila kugusia haya maswali; na kuelekeza lawama kwa Sativa ni uandunje wa fikra.
Lete mada za mapishi please! 🚮
Hapana sijapinga kile walicho kuwa wanadai kabisa ni haki yao kikatibaUsiangalie nani kasababisha maandamano
Angalia hao waandamanaji walikuwa wanaandamana kwa ajiri ya Nini.
Unataka kusema waandamanaji wamefanya hivyo coz ya maria sarungi?
Kumbe ni wa kiume mimi nilifikili ni keMtoto wa kiume unaonesha chuchu etiii
Ningeona hii comment yako mwanzon basi nisingehangaika na wewe.Ni kweli ujakosea lakini tukifwata historia ya nyuma kuna mambo mengi yalisha fanyika sana ya ovyo ambayo yana tugharimu mpaka sasaivi kama nchi mbona kizazi chenu hamku chukua hatua ya maandamano mpaka leo mna zeeka why kizazi iki mnataka kukihujumu?
Haya yanayo endelea sasaivi ni matunda ya yale ninyi wazee wtu mli yapanda misingi mizuri hamkuifanya mwanzo
DuhHii haijaisha hadi iishe, sasa ni mwendo wa kutungua falimilia za askari mmoja baada ya mwingine
Hata mabasi ya mwendokasi hayo ni miladi ya watu.Watu walikia bize kurudisha vilvopotea wewe unasema uharibifu wa mali MURAAA
Kupelekewa moto 🧐😳😳😳 unataka kusema kijana amekuwa juisi ya mua ANAKAMULIWA!!?? 😌😔😔Ungejikita kwenye mapochopocho tu na kupelekewa moto. Mada hizi nzito nzito huziwezi. Waandamanaji ni maroboti yanayomsikiliza huyo Sativa bila kufikiri? Unajua kuwa vijana hawa wengi wao ni graduates wa vyuo?
Kwa nini watu wameandamana? Kwa nini walikuwa/wana hasira? Nini kifanyike? Bila kugusia haya maswali; na kuelekeza lawama kwa Sativa ni uandunje wa fikra.
Lete mada za mapishi please! 🚮
Haswaaa me nlikua nawaza tu mara paap CDM wakachkua nchi then ilo non profit GO’s ya KLM akatolewa twiga kukaekwa ile isignia ya Winston Churchhill ya vidole viwili🤔🤔Hata mabasi ya mwendokasi hayo ni miladi ya watu.
Kwani mleta mada ni me? Mi nikisoma zile mada zake za mapochopocho huwa nafikiri ni ke 😳😳😳😳😳Kupelekewa moto 🧐😳😳😳 unataka kusema kijana amekuwa juisi ya mua ANAKAMULIWA!!?? 😌😔😔
Kama ni kweli huruma, kama si kweli umeongea kwa jazba, tengua kauli mkuu
Mapema tu kwenye saa5 huko Dar alilipotiwa mtu kufariki ...zikaripotiwa risas za moto zimeanza kutumika.Mwanzo maandamano yalikuwa yanaenda vizuri watu hawakufanya uharibu lakni sativa alitoa maelekezo kuwa waanze kuchoma vituo vya mwendoksi kisha wakaandika tena mtandaoni watu watembelee vituo vya mafuta na kuchoma, kila muda kwenye account yake alikuwa akitoa taarifa za kuharibu miundombinu na biashara za watu binafsi
Haikutakiwa kuwa hivyo bali yeye angewaambia waandamaji wasiguse mali za watu wala za serikali bali wabaki barabarani ili kuonesha ni maandamano ya amani mwisho imetafsiriwa ni uhalifu na kupelekea vijana wengi kuanza kupigwa risasi za moto, hii inaonyesha hakukuwa na mikakati mizuri
Nimeona clip bodaboda akitoa onyo kwa wenzake kuwa fanyeni maandamano ila msiharibu miundombinu lakini mtandaoni sativa anahamasisha vijana waende mpaka ikulu wakachome moto ili hali yeye yupo kwake kazi yake kutoa maelekezo, mbona hakutoa maelekezo ya raia kujilinda na kuepuka vifo na ulemavu? Matokeo yake leo hii wamewaumiza wazazi vijana wamekatishwa ndoto zao kisa watu wachache
Ifike mahali watu tujitafakari, leo inalaumiwa serikali lakini pia hawa watu wanaharakati uchwara hawapaswi kutetewa huwezi andaa mission then unashindwa kuwapa watu mbinu za kujilinda sio sawa kabisa
Reasoning yako ni ya kipumbavu sana. Kumbuka hapa sio Nepal. Ukifanya ujinga utajibiwa kadiri ya ujinga wako. Huwezi kuchoma mali za watu ukachekewa. Mtu mwenye nia ya kutumia kidumu cha petrol kuleta madhara anastahili risasi ya moto kwa sababu ni gaidi. Humu JF kuna Lord Denning alikuwa akihamasisha vijana wafanye uharibifu na mauaji je kuna faida aliyopata?Hakuna mass protests isiyokuwa na kuchoma au destructions. #M029 haifikii hata kidogo walichofanya gen z wa Nepal. Wale walichoma bunge, mahakama, tv stations, radio stations, five star hotels, nyumba za mawaziri, police stations na magari yao. Lakini idadi ya vifo inakadiriwa kuwa 72. Hawakuwauwa kwa kukodi genge la wahuni.
Atupe sote tuliopoteza watu wa karibu na Tegemeo kwetu, Amin🙏🙏🙏Pole Mungu akupe nguvu
Sina uhakika sababu simjui, ila mara zote uandishi wake na mengineyo huwa najua mleta mada ni ME kwa asilimia 99.9Kwani mleta mada ni me? Mi nikisoma zile mada zake za mapochopocho huwa nafikiri ni ke 😳😳😳😳😳