GE2025 Sativa na Nuruvan wamehujumu maandamano na kuonekana ni uhalifu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Na hii ndio mbaya Zaidi
Hapo Bongo mtu akishakua recruited kwenye Law enforcement bodies kama polisi,jw,tiss,magereza,uhamiaji,Tawa,Takukuru na kwingineko anakua Untouchable na linawaumiza wengi endapo utakwenda kinyume nao
 
Hapo Bongo mtu akishakua recruited kwenye Law enforcement bodies kama polisi,jw,tiss,magereza,uhamiaji,Tawa,Takukuru na kwingineko anakua Untouchable na linawaumiza wengi endapo utakwenda kinyume nao
Kwasasa hatuna cha kusema tena,. Ngoja tuangalie Tu jinsi Mambo yatakavyokua yanaenda
 
Kwenye saikolojia tunasema, ikitokea changamoto unaanza kwanza kushughulika na hisia za kibinadamu na baadaye ndiyo unakuja kwenye ufumbuzi.

Kwa sasa taifa limegubikwa na maumivu, hasira, mshtuko na hisia nyingi ambazo siyo nzuri. Si muda sahihi wa kuanza kunyoosheana vidole au kukosoana.

Andiko lako linaweza kuwa na cha kujifunza ndani yake ila umelileta katika wakati ambao siyo sahihi. Tuwafariji wenzetu kwanza!
 

Hapa haijawa kama Nepal kwasababu tuna kiongozi mlevi na muuaji.
 
Ni sawa lakini tujaribu kulinda hawa vijana vijana wengi wamepoteza maisha wanaharakati waache kutumia vijana
Walitumika kwani matoy yalikuwa? Yani wale vijana hawana utashi wala kuona wanatumika? Acheni dharau wandugu, wale ni binadamu kama ulivyo wewe mpishi, na wana mahitaji yao including utashi wa mabadiliko kwa future yao, unawasema kwa kuwa washafariki na hawana namna ya kujitetea? Acheni umafi kuweni na heshima kidogo kwa binadamu wenzenu hata kama mnalipwa kande!
 
Sawa nisamehe kwa namna yoyote ile nilio kukwaza
 
Unaomba amani kwenye vita ndugu ilipangwa watu wapigwe shaba so bora walivyotolea hasira zao umo
 
Shaurini utekaji ukomeshwe… Kwanini mnateka watu? Serikali kimya , Chama kimya? Sijawahi ona dunia nzima watu wanatekwa serikali iko kimya.

Halafu unadhani watu waliwahitaji akina sativa waambie chakufanya?
 
We ni kichwa maji....
 

yupo huyu jamaa lakini? naona yupo kimya
 
Kwenye saikolojia tunasema, ikitokea changamoto unaanza kwanza kushughulika na hisia za kibinadamu na baadaye ndiyo unakuja kwenye ufumbuzi.

bado still haiwezi justify ubaya utakaofanya, ukiuwa kwa hasira haimaanishi hutokwenda jela.

mipango ya uharibu wa maliilikuwa ya muda mrefu hata humu JF walikuwa wakipost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…