SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

Na utaratibu wa watu binafsi kumiliki vituo vya Polisi umeanza lini?
 
Ona unavyo paniki kipumbavu sasa kama mwanamke aliye mwezini,, maelezo marefu lakini hakuna hoja ya msingi uliyo andika,, sipaswi hata kubishana na wewe akili ndogo 🚮🚮
 
MASAHIHISHO:
Aliyetupwa kwenye tandu la moto ni Danieli. Hao uliowataja walitupwa kwenye tanuru la moto mkali sana.
 
Jamaa mpuuz anatukana watu alaf picha ipo on, au dm ipo wazi watu wanatafuta uzaifu wako tu unadakwa kama kenge
 
MASAHIHISHO:
Aliyetupwa kwenye tandu la moto ni Danieli. Hao uliowataja walitupwa kwenye tanuru la moto mkali sana.
Kwenye Zizi la Simba Wakali yupo sahihi Wewe zimua na Kali kwanza hio umevuta dry
 
Khaa aisee kumbe alikuwa na maneno machafu namna hiyo..kuvimba kwingi mtandaoni kumbe kanaswa kiulaini kabisa tunduni..aloo japo hastahili adhabu hiyo kama wa kujifunza atajirekebisha..ndugu zake pamoja na kuwa karibu nae wamuonye pia tabia hiyo sio nzuri...ila nimeelewa D2 zangu zimeniongoza nimeelewa ss ..nimeelewa lohh au basi
 
Jamaa mpuuz anatukana watu alaf picha ipo on, au dm ipo wazi watu wanatafuta uzaifu wako tu unadakwa kama kenge
Km kenge mtoni huyu hapa nyaku msituni huko hakuna Mama hakuna Ugali kuna Chatu mwenye njaa TU sasa utachagua akule au umle ni mwendo wa kuoteana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…