Mtu Binafsi aliwezaje Kubypass Security kutoka dar Kupita Arusha bila kukaguliwa mipaka yote ya Mikoa na aliwezaje kuingia kwenye Hifadhi ya Mbuga za wanyama bila kukaguliwa???
Any way for My Perspectives and as well as My intelligent perspectives it may Concern..
- kuteka ni professional task; hakuna anayeweza kufanya Bila kuwa Trained
- Kuvuka mipaka ni authoritative task, inabidi uwena power kufanya Hivyo
- Kumbuka ameUndego Missing for 5 days so Ku go undetected ni informative task, inabidi uweze kufuta footprints zako (and its requires expertise)
Anaweza akawa raia but Expert one..