SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

Mtu Binafsi aliwezaje Kubypass Security kutoka dar Kupita Arusha bila kukaguliwa mipaka yote ya Mikoa na aliwezaje kuingia kwenye Hifadhi ya Mbuga za wanyama bila kukaguliwa???

Any way for My Perspectives and as well as My intelligent perspectives it may Concern..

  • kuteka ni professional task; hakuna anayeweza kufanya Bila kuwa Trained
  • Kuvuka mipaka ni authoritative task, inabidi uwena power kufanya Hivyo
  • Kumbuka ameUndego Missing for 5 days so Ku go undetected ni informative task, inabidi uweze kufuta footprints zako (and its requires expertise)
Anaweza akawa raia but Expert one..
Na utaratibu wa watu binafsi kumiliki vituo vya Polisi umeanza lini?
 
Wewe huna akili, mimi nikiweka matusi hapa kilamtu akija ataona nipo against Sativa na naungana na waliomteka hatujua tumeanzia wapi wakati mpishano wetu ulikuwa mdogo tu.....YOU CANT THINK THIS WAY.

Nimempa jamaa njia ya kufanya hat wewe unaweza kwenda kwenye page kusachi hayo matusi inatosha sio kulazimisha kunijengea agenda za kijingajinga hapa....USE YOUR BRAIN.
Ona unavyo paniki kipumbavu sasa kama mwanamke aliye mwezini,, maelezo marefu lakini hakuna hoja ya msingi uliyo andika,, sipaswi hata kubishana na wewe akili ndogo 🚮🚮
 
Mpigaji hakuwa mzoefu au ameachwa aje kutupa ujumbe....?
20240628_060208.jpg
 
Kama alipigwa risasi ya kichwa then ikaenda kidevuni ina maana hapo ni Mungu tu hakutaka jamaa aondoke(afe).

Ni kama ile hadithi kwenye Biblia ya "Shadraka, Meshaki, na Abednego,” waliotupiwa kwenye Chumba chenye Simba wakali wenye njaa ili waliwe wafe

Lakini Mungu muweza akawaokoa

Wakati wa Mungu ni wakati wa Mungu tu 🙏
MASAHIHISHO:
Aliyetupwa kwenye tandu la moto ni Danieli. Hao uliowataja walitupwa kwenye tanuru la moto mkali sana.
 
Jamaa mpuuz anatukana watu alaf picha ipo on, au dm ipo wazi watu wanatafuta uzaifu wako tu unadakwa kama kenge
 
MASAHIHISHO:
Aliyetupwa kwenye tandu la moto ni Danieli. Hao uliowataja walitupwa kwenye tanuru la moto mkali sana.
Kwenye Zizi la Simba Wakali yupo sahihi Wewe zimua na Kali kwanza hio umevuta dry
 
Khaa aisee kumbe alikuwa na maneno machafu namna hiyo..kuvimba kwingi mtandaoni kumbe kanaswa kiulaini kabisa tunduni..aloo japo hastahili adhabu hiyo kama wa kujifunza atajirekebisha..ndugu zake pamoja na kuwa karibu nae wamuonye pia tabia hiyo sio nzuri...ila nimeelewa D2 zangu zimeniongoza nimeelewa ss ..nimeelewa lohh au basi
 
Jamaa mpuuz anatukana watu alaf picha ipo on, au dm ipo wazi watu wanatafuta uzaifu wako tu unadakwa kama kenge
Km kenge mtoni huyu hapa nyaku msituni huko hakuna Mama hakuna Ugali kuna Chatu mwenye njaa TU sasa utachagua akule au umle ni mwendo wa kuoteana
 
Back
Top Bottom