Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
HALAFU wanatokea watu wanasema anayehusika ni CHAMA FULANI ama ni TAASISI FULANI......! wakati mtu kutwa kuchwa KUTUKANA........Huyu hapa anatema Cheche zake huko XView attachment 3027826
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HALAFU wanatokea watu wanasema anayehusika ni CHAMA FULANI ama ni TAASISI FULANI......! wakati mtu kutwa kuchwa KUTUKANA........Huyu hapa anatema Cheche zake huko XView attachment 3027826
Pigwa risasi ya mdomoni ataongea na nani tena wakati kuongea ndio gudubaiSiku nyingine hatorudia
Waambieni hao Vijana waache ujinga wao la sivyo wataiona hii Dunia ni chungu,wanatumika na Wanasiasa ambao hawawezi kuwasaidia.👇👇Pigwa risasi ya mdomoni ataongea na nani tena wakati kuongea ndio gudubai
Wabongo nguvu ya soda.............Tujifunze kwa jirani zetu hapo juu,,,,Wakuu Salama,
Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio.
Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele kuhusu hili hata mmojawapo wa viongozi wa ACT Wazalendo Rahma Mwita alizungumza suala hili kwenye kwenye XSpaces jana 26/6/2024 kuwa yupo tayari kujitolea muda wake kuambatana na ndugu wa kijana huyo kwenda kwenye vyombo vya habari na asasi mbalimbali za kiraia kupaza sauti kuhusu kupotea kwa kijana huyu.
Edgar anaishi Mbezi kwa Msuguli na amepatikana katika Hifadhi ya Katavi akiwa amepigwa sana, hali yake ikiwa si nzuri.
Kama kelele zisingepigwa huyu ndio ilikuwa ntolee, halafu kuna chawa wanaotetea ujinga kila siku.
Kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera kuhusu kuwapoteza watu soma hapa: Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
Aisee, wakati wa kubadilika ni sasa, mtu akipotea wote tupige kelele, serikali ikienda kushoto wote tupige kelele. Isiwe kazi ya wanaharakati wachache au watetezi wa haki za binadamu, peke yao hawawezi. Tukiungana wote tunakuwa na nguvu.
Tuendeleze hashtag Wakuu, #KataaMachawa #KataaUozo2025, amsha kila utakayeweza kumuasha, tushikamane na kuteteana wakati wote kuleta uwajibikaji nchini.
Wewe unaenda kuwatukana watu huko mitusi mikubwa mikubwa mbaya zaidi unawaonyesha mpaka Sura yako unategemea wakufanyie nini wakuvalishe Kitenge?HALAFU wanatokea watu wanasema anayehusika ni CHAMA FULANI ama ni TAASISI FULANI......! wakati mtu kutwa kuchwa KUTUKANA........
Hivi haya yanapotokea mkono wa mama unahusika au ni watu wanamchafua?????Mwamba mara ya mwisho kuonekana alikuwa Dar maeneo Coco Beach kaja kupatikana Katavi
Mkono wa Mama yake Edgar? Labda itakua ndio aliemtuma atukane watu mitusi mtandaoniHivi haya yanapotokea mkono wa mama unahusika au ni watu wanamchafua?????
Anko chatu ndio nani mkuu?Unapelekwa ukamsalimie Anko Chatu sasa wewe jaribu usirudi
Kwahiyo mdomo ndio umemponza,,,,,,basi asiye funzwa na mamayeeeMkono wa Mama yake Edgar? Labda itakua ndio aliemtuma atukane watu mitusi mtandaoni
Wewe una maoni gani kuhusu hilo?Hivi haya yanapotokea mkono wa mama unahusika au ni watu wanamchafua?????
Hatari sana ndio maana wengi wanaona wawe machawa tu.Yani mwongozo unaopewa huko na somo lake sio poa
Ulimwengu utamfunzaKwahiyo mdomo ndio umemponza,,,,,,basi asiye funzwa na mamayeee
Ndio Ankali Chatu huyu hapa unataka na Wewe ukamsalimie? Ushakula Mafunzo ya kupigana nae lakini?Anko chatu ndio nani mkuu?
hii nchi mizengwe mingi....unaweza kuona hivi,,,kumbe ni tofauti kabisa......wanaweza kuwa hata ni wapinzani wanacheza gameWewe una maoni gani kuhusu hilo?
Eti ndivyo sheria/taratibu inavyotaka hivyo. Sio kosa la wananchi. Ni kosa la wajinga wanaotunga sheria mbovu kama hiyo.Hapo wanapanga kumpelekw police kwanza kabla ya kumfikisha hospitali!
Unbelievable.
Kumbe wewe nae ni bogus tuHALAFU wanatokea watu wanasema anayehusika ni CHAMA FULANI ama ni TAASISI FULANI......! wakati mtu kutwa kuchwa KUTUKANA........
hii nchi mizengwe mingi....unaweza kuona hivi,,,kumbe ni tofauti kabisa......wanaweza kuwa hata ni wapinzani wanacheza
Kwa nini hao "wapinzani" wasinge kutafuta lofa kama wewe?hii nchi mizengwe mingi....unaweza kuona hivi,,,kumbe ni tofauti kabisa......wanaweza kuwa hata ni wapinzani wanacheza game
Kwani hujawahi kusikia msemo "Kazi Iendelee"?Yaani ametekwa Dar ameenda kutupwa Katavi haya mambo ya Jiwe yanaanza kurudi.
Utaratibu huu ni lazima ubadilike.Hospitali zetu unaweza kumfikisha wakakataa kumtibu mpaka awe na PF3
Kuna jamaa yetu alishavamiwa akachomwa na visu tumekimbia police haraka kupitia pf3 hapo tumepanic balaa akatoka askari ile tunamwambia tuandike haraka jamaa linajibu "huyo mbona bado mpya, hata hajapigwa sana, Kuna watu wanaletwa hapa wamechakaa" 😃
Wakuu Salama,
Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio.
Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele kuhusu hili hata mmojawapo wa viongozi wa ACT Wazalendo Rahma Mwita alizungumza suala hili kwenye kwenye XSpaces jana 26/6/2024 kuwa yupo tayari kujitolea muda wake kuambatana na ndugu wa kijana huyo kwenda kwenye vyombo vya habari na asasi mbalimbali za kiraia kupaza sauti kuhusu kupotea kwa kijana huyu.
Edgar anaishi Mbezi kwa Msuguli na amepatikana katika Hifadhi ya Katavi akiwa amepigwa sana, hali yake ikiwa si nzuri.
Kama kelele zisingepigwa huyu ndio ilikuwa ntolee, halafu kuna chawa wanaotetea ujinga kila siku.
Kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera kuhusu kuwapoteza watu soma hapa: Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
Aisee, wakati wa kubadilika ni sasa, mtu akipotea wote tupige kelele, serikali ikienda kushoto wote tupige kelele. Isiwe kazi ya wanaharakati wachache au watetezi wa haki za binadamu, peke yao hawawezi. Tukiungana wote tunakuwa na nguvu.
Tuendeleze hashtag Wakuu, #KataaMachawa #KataaUozo2025, amsha kila utakayeweza kumuasha, tushikamane na kuteteana wakati wote kuleta uwajibikaji nchiniS
Mm sijajua kukosoa kama mtu kakosea hasa kiongozi ni kosa? Ila naamini kukosoa Kwa matusi na maneno ya kejeli ni kosa kubwa!!Hakunaga Kiongozi asiye katili duniani
Ndio sababu Hapa kwetu akiapishwa anapewa Mkuki 😂😂
Mwamba kapigwa kama ngoma