Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Everlyh salt ni legend,Huwezi mfananisha na hawa vijana waliozaliwa kipindi cha JPM hapa JF
Ni kumkosea adabu!

Legend kujiunga jf au kiumri? Fafanua
 
Kura yangu kwa MISS NATAFUTA, kuna vibwagizo vyake ni burudani bhanaa

Japo evelyn salt yuko njema kwa head!,,,,

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Km mie aseee..daaah

Post sent using JamiiForums mobile app
wewe upo kundi gani binti kati ya makundi tajwa hapo juu?

smart kichwani mwonekano zero? au
mwonekano wa lulu akili za Aziza kono la jini wa mwananyamala??
 
Kwahiyo ukiwa msomi tu wewe ni mbaya pia ni shapeless [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24]
mara nyingi mdada mzuri kupitiliza ni ngumu kuwa msomi unless uzuri wake ni uzuri uliokuwa umefichwa na dhiki au ushamba ukaja kugundulika mbeleni baada ya kuziacha dhiki au kuachana na ushamba

kuna msemo wa wahenga walipata kusema ya kuwa "Mwanamke akipewa uzuri akanyimwa akili basi kitachoumia zaid ni sehem zake za risi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…