Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
my wifiiii[emoji85] [emoji85][emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji2] [emoji2] its our day...pleasee...enjoy with my broo...!!!to the fullestt...
Thanks mam![emoji120] [emoji120][emoji2] [emoji2] its our day...pleasee...enjoy with my broo...!!!to the fullestt...
karibu sanaThanks mam![emoji120] [emoji120]
Mkuu uchochezi huuEvelyn Salt kichwani yuko vizuri lakini huyu Miss Natafuta nahisi ana watermelon on behalf
Pamoja sana mykaribu sana
Km mie aseee..daaahmadem ambao wako vizuri kichwan wengi huwa n wabovu kimwonekank
Km mie aseee..daaahmadem ambao wako vizuri kichwan wengi huwa n wabovu kimwonekank
Kwahiyo ukiwa msomi tu wewe ni mbaya pia ni shapeless [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24]Huyo evelyn salt atakuwa msomi means mbaya kbs au mzuri kdg lkn shapeless na huyo miss natafuta mzuri ila kicheche fln hv au kapinda
Post sent using JamiiForums mobile app
Miss Natafuta wherayuuuuuKura yangu kwa MISS NATAFUTA, kuna vibwagizo vyake ni burudani bhanaa
Japo evelyn salt yuko njema kwa head!,,,,
Post sent using JamiiForums mobile app
wewe upo kundi gani binti kati ya makundi tajwa hapo juu?Km mie aseee..daaah
Post sent using JamiiForums mobile app
mara nyingi mdada mzuri kupitiliza ni ngumu kuwa msomi unless uzuri wake ni uzuri uliokuwa umefichwa na dhiki au ushamba ukaja kugundulika mbeleni baada ya kuziacha dhiki au kuachana na ushambaKwahiyo ukiwa msomi tu wewe ni mbaya pia ni shapeless [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24]