Wagalatia mnachekesha .chuki yenu kwa Iran sijui inatoka wapiJifurahishe angalau upate usingizi
Wagalatia mnachekesha .chuki yenu kwa Iran sijui inatoka wapiJifurahishe angalau upate usingizi
namaanisha, kusema kwamba wametoa ruhusa , inaleta ukakasiSa ulitaka iwe vipi
namaanisha, kusema kwamba wametoa ruhusa , inaleta ukakasi
Kwenye Uislam hakuna kitu hicho labda zile hadith fake za Bukhari zilizo tungwa kanisaniBikra 72 na pepo ni zaidi ya chochote dunia hii, fursa hiyo Adiosamigo
Hii ni Propaganda 🚮
Saudi Arabia ni chawa wa USA hivyo hawezi kubali base za USA kushambuliwa.
Kwani unamakalio makubwa au umejua vipiSaudi Arabia bila US ita collapse overnight, akili za adiosamigo zipo kwenye makalio
Kuna vitu inaonekana hujaelewa hapa 👇 👇 👇 👇![]()
Saudi Arabia sets red line on Iran strikes at US bases, signals conditional neutrality
Saudi Arabia draws a red line, signaling neutrality if Iran targets only US bases, while warning broader attacks could force a response.thedefensewatch.com
Dogo rudi shule wewe ndio hukuelewa message iko wazi asipige civilian au sehemu haihusiki na base ya USA tu ndio Saud Arabia hata ingia vitaniKuna vitu inaonekana hujaelewa hapa 👇 👇 👇 👇
*******************************************
Gulf warnings to Tehran
There are growing indications that Gulf capitals have delivered coordinated private messages to Iran. The message is consistent: limited action against US military targets may be tolerated to avoid escalation, but attacks that cause significant damage, civilian casualties, or spill into national infrastructure would force Gulf states to act.
This stance is shared, to varying degrees, by the United Arab Emirates, Qatar, and Kuwait, all of which host US forces. Each country balances its security ties with Washington against economic exposure and domestic stability concerns.
According to multiple regional security sources cited by Reuters and the Wall Street Journal, Saudi Arabia and other Gulf partners have privately warned Tehran that large scale or sustained attacks on their territory would cross a red line and trigger a response.
*******************************************![]()
Saudi Arabia sets red line on Iran strikes at US bases, signals conditional neutrality
Saudi Arabia draws a red line, signaling neutrality if Iran targets only US bases, while warning broader attacks could force a response.thedefensewatch.com
Washachelewa sio ulinzi tu huoni sasa hivi Saudi hata Culture na misimamo yao yanayo ongozwa na sheria za Kislam ,wameanza kuyaacha polepole, huoni mpaka Beyonce na Card B wameenda kuwatikisia matako wakiwa nusu uchi,baada ya miaka mitano itakuwa na tabia nyingi za Kimagharibi. Yaani US ana impact kubwa kuanzia kwenye ulinzi na hata kuharibu Culture na ile misimamo ya Saudi.Matatizo ya kukalili haya. Hamuamini katika mabadiliko?
Hao wote wameshaonyesha interest na bricks. Wanatafuta upenyo tu wa kuachana na USA
Dogo rudi shule wewe ndio hukuelewa message iko wazi asipige civilian au sehemu haihusiki na base ya USA tu ndio Saud Arabia hata ingia vitani
View: https://youtube.com/shorts/KRxm18-er2I?si=DtlgFiR4Z2XfpFIV
USA yuko uchi kabisa Iran anamchunguza kila kitu
Habari ndio hio ya mjini fresh kabisa Saud Arabia, Qatar, na inasemekana pia Iran atapiga base iliopo UAE, Oman, Kuwait Warabu wameisha choka na ujinga wa USA wamewapa green light Iran wapige base ya USA kwenye nchi zao kama USA akishambulia Iran.
Safari hi USA kaukalia wacha awe anatafuta usalama wa Israel kuliko wa USA
View: https://youtube.com/shorts/a_ZKcqW-tT8?si=GVCE3z0-QmFMflny
View: https://youtube.com/shorts/rPAEjk6I0R4?si=Dk1OdRAAk5vi9lnE

Matatizo ya kukalili haya. Hamuamini katika mabadiliko?
Hao wote wameshaonyesha interest na bricks. Wanatafuta upenyo tu wa kuachana na USA