Alishajua kuwa itafika mahali mtavuta kasi ili mbadilishe upepo. Ndiyo maana akawatengenezeeni mdoli wa Kichina, nimyi mkauona kuwa ndiye mkombozi wenu, kumbe mnazidi kujipiga kitanzi.Upepo umebadirika........ Watu walikua wanavuta kasi tu
Pale Mwenge kuna bomba la gesi linatandazwa kuelekea Mbezi Beach, siku moja nikaropoka kuwa naona Wameanza weka mabomba ya gesi, huwezi amini watu wote kwenye daladala walikataa, wakasema gesi haiwezi safirishwa kwenye plastics, huo ni mkongo wa umeme. Nikacheka sana.Uzushi unqtukaa kichwani kwao sababu hatuna option ya kujifunza hali halisi, tatizo kubwa ni lugha .
Ukweli utajulikana uzuri tupo tunaona, tujaliwe uzima tu...... Yajayo yanafurahishaAlishajua kuwa itafika mahali mtavuta kasi ili mbadilishe upepo. Ndiyo maana akawatengenezeeni mdoli wa Kichina, nimyi mkauona kuwa ndiye mkombozi wenu, kumbe mnazidi kujipiga kitanzi.
Hizo ni reference tu , kuna documentaries pia , mambo ya uchumi yapo very well documented , ni vile hatuna nafasi ya kujifunza .Na lugha haipo cnn na bbc tu
Halafu logic yake ni ndogo sana, yaani sana tu inakusaidia kuyaona yote.Tatizo.kubwa ni elimu, haya mambo ukisimulia mitaani utaonekana unapendelea marekani
Kama umewahi kupita kwenye vibanda vya movie uswahilini utanielewa , anachotafsiri mkandara watu ndo wanaweka kichwani kama reference , Hali hii ndo inatufanya mambo mengi ya kimataifa na jinsi dunia inavyokwenda yatupite kushoto.
Mkandaranhana muda wa kutafsiri taarifa ya habari bbc ,cnn aljazeera au russia today.
Inategemea unasoma za upande upi....... Tanzania ya sasa sio ya 1970s hukoHizo ni reference tu , kuna documentaries pia , mambo ya uchumi yapo very well documented , ni vile hatuna nafasi ya kujifunza .
Juzi tu hapa nacy pelosi katua Taiwan , licha ya mikwara tele ya China,Halafu l9gic yake ni ndogo sana, yaani sana tu inakusaidia kuyaona yote.
SIjui ni namna gani watu wanashindwa kuelewa kuwa Mchina ni Mdoli wa Marekani na hizi bifu ni za kutengeneza tu ili kuendelea kuzubaisha akili za watu.
Ukianza kuifumia China hakuna shemu utaikosa Marekani, labda kwenye dini yao ya Budha tu.
Kuna mijamaa mijinga sana humu. Kama hamwezi kusoma, hata picha hamzioni??Alishajua kuwa itafika mahali mtavuta kasi ili mbadilishe upepo. Ndiyo maana akawatengenezeeni mdoli wa Kichina, nimyi mkauona kuwa ndiye mkombozi wenu, kumbe mnazidi kujipiga kitanzi.
China walitumia akili kubwa sana kumpotezea Polosi na USA. Kwani si kila migogoro ni ya kutumia nguvu. Umejiuliza kwa nini China wameingeza bajeti yake ya ulinziJuzi tu hapa nacy pelosi katua Taiwan , licha ya mikwara tele ya China,
Huawei kapotezwa , na si kampuni ya kwanza china kufanyiwa hivyo.
Ndio unataka kusema nini??HAYA WAZUSHI SOMENI HIYO!!
Transatlantic Middle East District awards nearly $300M contract for Saudi Arabia
TRANSATLANTIC MIDDLE EAST DISTRICT
Published Feb. 22, 2023
1
PRINT | E-MAIL
WINCHESTER, Va. --
The Transatlantic Middle East District awarded a contract for the Kingdom of Saudi Arabia’s Ministry of Defense P-563 Program on Feb. 17, 2023.
The Single Award Task Order Contract (SATOC) W912ER23D0009 was awarded to Tecnica y Proyectos for Engineering Services (TYPSA) with a not to exceed value of up to $290,000,000.
TYPSA will be responsible for the overall integration of the P-563 Program. Among other tasks, this integration effort will include preparation and implementation of a program management plan (PMP), program communication, program change management, quality management, cost and scheduling tracking, design requirements, codes, standards and submittal requirements program guidance, study integration, risk analysis and management, design reviews, quality management, and program work breakdown plan.
The period of performance is a three-year base period with one 2-year option period.
Neno "Dollar" umeliona? Dollar milioni 300 siyo ndogo ati. Si wangelipa kwa hela yao Riyal?Ndio unataka kusema nini??
Utajijuu..Wewe unaokota maoni ya watu, unadhani ni Serikali
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Market share ya US kama mzalishaji na mnunuzi inajulikana nchi nyingine zote zinanunua kwa dola. Ipo hivi wauzaji wakubwa 5 ambao wanahodhi market share 78% wanasema hawauzi mafuta yao kwa kutumia dola maana yake wanunuzi watafute fedha mmbadala Yuan, Rubble, Rupee Euro etc. Maana yake mauzo ya mafuta 78% yatafanyika kwa fedha zingine na sio dollar. Sasa hii ndio inapunguza mzunguko wa dollar.Hata hiyo Russia yenyewe wangependa pesa za mafuta wawe wanalipwa kwa dola, vikwazo tu ndio vimewafunga.
Ni kweli US hawezi kuona utawala wake unaangushwa kienyeji. Rupee, Yuani, Rubble zipo backed na Gold yaani value zake ni derived na gold tofautina dollar.Shida hapo Sina Imani na India na SA kwa kuwa hawana utawala stable kama Hao watatu so anytime wanaweza kuwa vibaraka ndani ya bricks na mmarekani aka take advantage ya kuwamaliza
Kwani hizo sarafu za nchi zingine "Back up Value" yake ni nini. Maana haya mambo ya kukariri nadharia za kiuchumi za zama za kale yanasumbua sana!!backup value
Sio kweli kwamba Rupia ya India yote imedhaminiwa kwa Dhahabu nyingine haijadhaminiwa kwa dhahabu, Yuan 40% ndiyo tu imedhaminiwa kwa dhahabu. 60% imedhaminiwa kwa fedha za kigeni na hati fungani za serikali, na hata Russia ni hivyo hivyo. Jee hii nadharia yenu ya kuishutumu Dollar kwamba haiko "Backed" na dhahabu mnaitoa wapi?? Mfumo wa kuiweka fedha ya nchi kwa dhahabu siyo muda utaonekana hauna maana. Kwani dhahabu ni nini??Ni kweli US hawezi kuona utawala wake unaangushwa kienyeji. Rupee, Yuani, Rubble zipo backed na Gold yaani value zake ni derived na gold tofautina dollar.
Hicho ndio kinaipa confidemce ingawa badoni ndogo. Ona kinachotpkea kwa bank kubwa kwa sasa ulaya na US. Ikishika kasi ndio mwisho wa Dollar. Fedha mbadala kwa sasa ni Yuani.
Ni kweli US hawezi kuona utawala wake unaangushwa kienyeji. Rupee, Yuani, Rubble zipo backed na Gold yaani value zake ni derived na gold tofautina dollar.
Hicho ndio kinaipa confidemce ingawa badoni ndogo. Ona kinachotpkea kwa bank kubwa kwa sasa ulaya na US. Ikishika kasi ndio mwisho wa Dollar. Fedha mbadala kwa sasa ni Yuani.