Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Sina uhakika ana maana gani? lakini kama anaongelea wenye dollar watakuwa in disadvantage kutokana na market au currency nyingine, anajidanganya tuu na yeye ndio ataumia, China bado sana na huwezi kuamini wakomunisti wanao control pesa yao kwa vikao badala ya market forces, China ana exports to US na European countries zaidi ya dollar trillion kwa mwaka, anawahitaji hao wazungu na dollar zao kuliko sisi tunavyowahitaji, story za kutumia currency nyingine zaidi ya dollar ni siasa zaidi kuliko uchumiUmesema ulikuwa Kenya,na hii unaisemeaje kutoka Kenya yenyewe uliokuepo?