Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

America wanaweza kupindua kingdom in just one day if they want too .. or feels it’s necessary to do so
Iran na n.korea wameshindwa mnawapa sifa us kuliko kawaida they can also test defeat from even the weakest country
 
Nimesema before and I will said it again hakuna nchi hata moja duniani inayoweza kujiangusha America hana China 40 to 50 percent ya decent taxable products wanauza hapa america kama america wakaamua ku sanctions China it will be the end of China . America is the biggest market in the world kwenye upande wa kuuza na kununua. America budget is bigger than all Europe combine Kwa mwaka
Stop being delusional and arrogant sanction zimeshindwa kwenye weak economy like iran na korea achilia mbali russia ambako tunaona sanction za west zinavo boomerang, leo ndio aende akaiwekee vikwazo giant economy like china? You are dreamwalking
 
[emoji23] US dola imechukua miaka zaidi ya miaka 80 kufanya pesa yao kufikia kila kona kimatumizi alafu leo unakuja na mafuta yako ya kigoma kupindua.

Nilishasema warabu hawana akili
Umesema kweli kabisa,Ujerumani wamejitahidi na Uengereza ikashindikana..They decided to join US .Waarabu bado kabisa kama ulivyosema China na Urusi wanaweza but in very short period due to fact that bado hawana misingi imara ya system ya fedha kama ilivyo marekani.Marekani anahakikisha anawekeza kote duniani in form of share.
 
Niambie kwa nini iwe WWIII.Kutumia Dollar kama Petro Dollar ilikuwa by design,so it can be removed by design,wala hakuna lazima kutumia Petro Dollar.Ni kweli Wamarekani watakasirika,we know, lakini kama nchi zingine zote zitaungana,there is nothing America can do,they will have to sit down and watch the Empire crumble.

Tunajua walimuua Gadafi alipofanya jambo kama hili,sasa tusubiri tuone kama watamuua MBS.

Hapo kuungana ndio kuna shida.US watafanya wafanyalo msiungane
 
Stop being delusional and arrogant sanction zimeshindwa kwenye weak economy like iran na korea achilia mbali russia ambako tunaona sanction za west zinavo boomerang, leo ndio aende akaiwekee vikwazo giant economy like china? You are dreamwalking
Unajua kinschoendelea huko Iran? Dollar moja ya Marekani ni Sawa na elfu arobaini na mbili za Iranian money … alafu unasema sanctions zimefeli 😀
 
Unajua kinschoendelea huko Iran? Dollar moja ya Marekani ni Sawa na elfu arobaini na mbili za Iranian money … alafu unasema sanctions zimefeli 😀
Miaka kumi iliyopita Mozambique walipunguza masifuri matatu ktk helayao, je, uchumi wao ulipanda au waliamua kama nchi kupunvuza hayo masifuri??
 
Unajua kinschoendelea huko Iran? Dollar moja ya Marekani ni Sawa na elfu arobaini na mbili za Iranian money … alafu unasema sanctions zimefeli [emoji3]
So what...ni kipi walichoizuia iran za ya kuifanye iweze kujitegemea iran kwa sasa inaweza kutengeneza almost kila kitu nchini kwake so ukiniuliza matokeo ya sanction za marekani kwa iran nitakwambia wameifanya iran kuwa bora than before
 
Asia(4.8 billion people),India(1.4 billion people) and China (1.4 billion people) are the largest markets in the World mkuu.America has only 349 million people,litakuwaje soko kubwa sana? Infact America needs China more than China needs America.Hata kama America isipokuwa kwenye the Chinese equation,China can still survive comfortably by selling it's products to itself,Asia,India,Africa (1.2 billion people)and Europe(746 million people),not of course forgetting Russia(147 million),Australia(26 million),South America(423 million),Japan(126 million),New Zealand(5.2 million and Canada(39 million)
Idadi ya watu isikupumbaze ingekua hivyo India ingekua na Uchumi mkubwa kupita Ujerumani au Japan.

GDP per Capital ya Uchina ni $12,000 wakati Marekani ni $60,000,Mara tano zaidi. Raia wachache wa Marekani wana nguvu ya manunuzi kushinda Raia bilioni wa Uchina.
 
Please understand :
SELLING in Yuan is not the same as PRICING in Yuan
Yes it is a HUGE MOVE by the Saudis to sell their Oil to China in Yuan but thats not as EarthshakingWhat Saudis have already been doing is saying - Okay. Pay us in Yuan for Oil.

And the Saudis Import a Lot from China so makes sense for the Saudis to accept Yuan for Oil and use the Yuan to pay for Construction of an Airport or a Bridge by a Chinese Consortium

Its good Old Currency Swaps & its been done by many many nations

UAE began with China right from April 2021 while Saudi has been doing this with China for Petrochemicals from December 2021 however never for Crude.

Saudi has accepted Euro Payments and Pound Sterling Payments in the past as well.

What happens here?

Oil is $ 120 a Barrel - so Saudi simply converts the Yuan -USD rate and asks Chian to pay 800 Yuan per Barrel.

Its SETTLEMENT. YOU STILL PRICE THE OIL IN DOLLARS

What happened in Iraq or Libya was PRICING (And what is happening in Russia)

Pricing Means quoting your Price entirely in Yuan

Say Saudi Arabia calculates its Expenses and Profits and decides to price its Oil at 672 Yuan a Barrel at which price they can earn enough profit.

So Everyone will calculate/compute the Price of Oil in Yuan

Now Brent System says 1 Barrel = $ 120 but Saudi says 1 Barrel = 672 Yuan

What happens?

Earlier 120 Dollars could purchase around 800 Yuan but now 120 Dollars can purchase only 672 Yuan

Now Yuan is also a Paper Currency

What if the Pricing is in GOLD?

What if Saudi Prices its Oil after computing its Profits and Expenses as say

We will Sell 1 Barrel Oil for 1.8 Grams of Gold

Saudi will make its Profits but Today per Brent System 1 Barrel = 2.5 Grams of Gold , when it reduces to 1.8 Grams of Gold

USD will Floor badly ….ie:- Start lowering horribly in Value

And then People will see that You have 31 Trillion Debt !!!!!

And the Sinking will be faster

PRICING in GOLD was what Got Libya and Iraq into Trouble

Russia is doing the absolutely same thing - Selling in Ruble & Pricing in Ruble
And they are a Nuclear Power

Russia is thus a Major Problem. If they price their Commodities in Yuan or Ruble, it would be Big , Big Problems for the US Dollar.

SAUDI ARABIA so far is NO ISSUE AT ALL except some Symbolic Victory for China
 
Idadi ya watu isikupumbaze ingekua hivyo India ingekua na Uchumi mkubwa kupita Ujerumani au Japan.

GDP per Capital ya Uchina ni $12,000 wakati Marekani ni $60,000,Mara tano zaidi. Raia wachache wa Marekani wana nguvu ya manunuzi kushinda Raia bilioni wa Uchina.
Kama hujui kwa nini Ujerumani na hata Japan ina uchumi mkubwa kuliko India na unasema umesoma hujasoma,go back to school.
 
Mimi ni mtafiti,sio wa kusiliza udaku kwenye vijiwe vya kahawa na kusoma Mtanzania,Uhuru,Nipashe, Habari leo etc. na kusikiliza ITV,TBC,Channel 10,Clouds TV au BBC, CNN na Aljazeera kama wewe,We look for true,authentic state of the art information.Siwezi kuleta pumba hapa, kwa kuwa nia yangu ni kuelimisha.
Safi sana
 
Hizo ni porojo tu, hamna mbadala wa dola kwa kipindi hiki ambapo Marekani na washirika wake ndio wanatawala uchumi wa dunia.

Kwa hiyo wenyewe watafanya biashara kwa sarafu gani kama ni hivyo. Hizi ni siasa zinazoenezwa na mataifa pinzani na Marekani ili kujaribu kupunguza frustrations zao.

China anawadanganya tu wenzake wakati yeye anategemea soko la Marekani kuuza bidhaa zake kwa dola ambapo amekuwa akipata zaidi ya dola bilioni 500 kwa mwaka. Huoni kwamba huyu anawachuuza wenzake.

Leo hii sarafu nyingi zinazidi kushuka thamani dhidi ya dola na juzi tu nilikuwa Kenya kwenye mabenki ya huko 1 USD= 144+ Kshs na hapa Tanzania 1 USD=2,387 Tshs na bado hela zetu zinazidi kushuka thamani dhidi ya dola.

Zaidi ya 80% ya madeni yetu yapo kwa dola na mikopo na misaada inayotolewa bado itakuwa kwa dola na zitalipwa kwa dola sasa mtu anaposema kwamba dola haitakuwepo nafikiri hajui anachoongea.
 
Daah hivi kweli unajua yanayoendelea hapa duniani kwa sasa?
 
Umesema ulikuwa Kenya,na hii unaisemeaje kutoka Kenya yenyewe uliokuepo?
 
Attachments

  • 5293381-3383361361752470a05338266adc7f69.mp4
    1 MB
Dunia inakokwenda kunafurahisha sana. Ujanja ujanja wa marekani kuipatia umaarufu dola unakwenda kichinjwa.
Mkuu,kwa bahati mbaya ni watu wachache wanao liona hilo - wengine wanakuja ba hoja za ajabu eti dollar imeanza kutimika kwenye masuala ya biasharana uchumi eti nani mwenye ubavu wa kuidhoofisha matimizi yake Duniani - hawasomi hata strategy ambazo wenzake wamepanga to cut to size matumizi ya dollar Duniani - akisoma/angalia kwa umakini bula ya kusukumwa na ushabiki utaona wazi wazi kwamba jamaa wamekwisha anza kufanikiwa kikubwa, ni suala la muda tu kabla Dollar haijafa kifo kama cha British Sterling mapema kwenye karene ya kumi na tisa - someni vizuri kilicho andikwa humu including na reference ili ujilidhishe - sio mambo ya kubuni, mataifa mengi yamekwisha kata shauri kuachana na matumiza ya dollar.
 
Huo mkutano wa BRICS wa August, utakuwa pigo kubwa sana kwa west maana hawataamini macho yao kuona nchi nyingi sana kujiunga na BRICS
 
Hizo ni porojo tu, hamna mbadala wa dola kwa kipindi hiki ambapo Marekani na washirika wake ndio wanatawala uchumi wa dunia.

Kwa hiyo wenyewe watafanya biashara kwa sarafu gani kama ni hivyo. Hizi ni siasa zinazoenezwa na mataifa pinzani na Marekani ili kujaribu kupunguza frustrations zao.

China anawadanganya tu wenzake wakati yeye anategemea soko la Marekani kuuza bidhaa zake kwa dola ambapo amekuwa akipata zaidi ya dola bilioni 500 kwa mwaka. Huoni kwamba huyu anawachuuza wenzake.

Leo hii sarafu nyingi zinazidi kushuka thamani dhidi ya dola na juzi tu nilikuwa Kenya kwenye mabenki ya huko 1 USD= 144+ Kshs na hapa Tanzania 1 USD=2,387 Tshs na bado hela zetu zinazidi kushuka thamani dhidi ya dola.

Zaidi ya 80% ya madeni yetu yapo kwa dola na mikopo na misaada inayotolewa bado itakuwa kwa dola na zitalipwa kwa dola sasa mtu anaposema kwamba dola haitakuwepo nafikiri hajui anachoongea.
Endekea kuota. China ameshashitukia mchezo kitambo sana. Anajua hana usalama wa uwakika kwa kumtegemea marekani kwa kila kitu na ameshanza kuchukua hatua.

Nasikia wiki hii ameichunia kupokea simu ya kibabu Biden. Yajayo yanafurahisha
 
Huo mkutano wa BRICS wa August, utakuwa pigo kubwa sana kwa west maana hawataamini macho yao kuona nchi nyingi sana kujiunga na BRICS
Ni kweli hata Saudi Arabia ilikuwa inaunga mkono BRICS siku nyingi tu lakini ilikuwa inaifanya kama siri - miaka kama minne mitano hivi iliyo pita Sweden na Norway walitaka kutuma maombi ya kujiunga kwa kuwa BRICS si taasisi ya kijeshi bali ya kifedha na Uchumi walisema hawawezi kupuuzia taasisi kama hiyo, lakini Merikani imepania kuipiga vita taasisi ya BRICS kwa kueneza propaganda za uongo kupitia MSM zao na social media zao zenye lengo la kuiharobia sifa BRICS - ndio walivyo.

Nina uhakika mkutano wa August mataifa mengi yatatuma maombi ya kujiunga na BRICS - Dunia imekwisha shuhudia madhara ya kiuchumi yanayo letwa/sababishwa na vita ya Ukraine - hasa hasa mashinikizo ya Merikani ya kulazimisha hasa mataifa ya Ulaya kuiwekea vikwazo vya kiuchumi chungu mzima Urusi, vikwazo hivyo vya kijinga vimezi athiri sana Mataifa ya Ulaya na pamoja na Dunia nzima, Urusi hakiadhirika sana.

Kutokana ujinga wa Merikani kulazimisha vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Urusi hivi sasa Ulaya nzima ajila zimepungua sana, viwanda vinafungwa, bei zanishati ya gesi imepanda mara nne kwa bei ya soko, we fikiria viongozi wa Ulaya walivyo wa ajabu wanakibali shinikizo la Merikani la kununua LNG inayo safirishwa kutoka Merikani kuja Ulaya na kuuzwa mara nne ya bei ya soko ndio maana Merikani ilihujumu mradi wa gesi wa Nord1&2 kati ya Urusi na Ujerumani na nchi nyingi za Ulaya ambazo zilikuwa zinategemea sana gesi ya Urusi ambayo ilikuwa inauzwa kwa bei ndogo sana kila raia alikuwa ana afford kulipa - sio hivi sasa, Wamerikani walifanya hujuma hizo hili wapate faida kubwa.

Binafsi nina imani kwamba viongozi wa Ulaya na Raia kuna kitu wamejifunza kuhusu ubaya wa kufuata blindly foreign policy za Merikani, ambazo hivi sasa zinawa cost an arm and leg.
 
Back
Top Bottom