Viwanda na mitambo huwezi kuendeshea solar. Huo umeme wenyewe unaotokana na gas lazma kuna application ya diesel kuendesha baadhi ya mitambo.Mafuta yatahitajika sio kwa magari tena kwani electric cars zimeanza kujaa
Soko la gari za mafuta liko Africa. Bado watauza sana gari za mafuta na hivyo hivyo huko ulaya sio nchi zote zimekubaliana na habari za kununua gari za umeme.Sio kweli mkuu
Vans zimejaa sana za electric na magari madogo yanaongezeka kila siku
Naziona 100% electric vans kuanzia kampuni ya Amazon ndio wameyanunua haswa na hata Royal mail
Hizi zimejaa sana na takwimu za [emoji636] pekee zipo 660,000 barabarani kwa sasa
Kwa Afrika tunafuata mkumbo tu bado sana
Kama Tanzania nzima ni magari 700,000 ya kawaida na wenzetu ya umeme tu zaidi ya laki 6 sasa na ndio kwanza yanafyatuliwa kila kukicha
Don't get me wrong bro
Gari za mafuta itachukua miaka kupotea ila zitabaki nchi masikini tu kwa wingi
View attachment 2487809View attachment 2487814
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] at the same time mnasema habari zote ziko controlled na hao hao westerns leta chanzo kimojawapo tofauti na westernmedia kinacho eleza hizi habari zako unazo letaga umu jukwaanSisi ni watafiti,sio wa kusiliza udaku kwenye vijiwe vya kahawa na kusoma Mtanzania,Habari leo na kusiliza ITV,TBC au BBC kama wewe.We look for true state of the art information.
Bongo yatakuwa dili kuendeshea generators maana chini ya mdudu ccm hakuna siku kero ya umeme itaisha nchi hii kila siku hali inazidi kuwa mbaya.Mafuta yatahitajika sio kwa magari tena kwani electric cars zimeanza kujaa
Lakini Saudi sio kwamba anauza mafuta yake kwa dola ili kumfurahisha Marekani, anauza kwa dola sababu dola ndio most stable currencyNafikili tunashindwa kuelewa. Swala ni kwamba hoa waujazi wa mafuta hawatakuwa na ulazima wa mteja kutumia dola kununua mafuta. Mfano mzuri ni Russia jinsi anavyouza mafuta yake kwa sasa. Mmemfungia dola lakini mauzo yake yanazidi kupaa
Kwa hiyo Saudi atakuwa anatumia hela gani kuuza mafuta? Au kila mtu atabeba hela za nchi yake kwenda.?Kama mtu hujui uchumi utaishia kusema hii ndoto ya mchana. Kwa wasiojua biashara kubwa duniani inafanyika kwa malipo ya dola over 38% sawa na almost 90trillion dollar. Sasa kati ya hizo transaction 55% ni mauzo ya mafuta peke yake. Na wauzaji wakubwa wa mafuta duniani Russia na Saudia tayari wanaacha kutumia dollar kama pesa ya malipo.
Lapili ili ununue mafuta lazima uwe na dollar ili ufanye malipo kutoka kwa wauzaji. Hivyo unaponunua dollar maana yake US lazima ahakikishe zipo za kutosha kwenye mzunguko zikipungua anaongeza.
Tatu unapoacha kununua mafuta kwa fedha uliyokuwa unatumia awali(dollar) zile unazoacha kuzitumia zinarudi kwa mwemyewe(US). Pesa hizi hazirudi kama sadaka bali kupitia mauzo namanunuzi mbalimbali sasa zitakuwa nyingi kwemye mzunguko kulko mahitaji. Matokeo
Thamani ya hela husika inashuka(dollar inapoteza thamani). Kisha inapelekea kupanda kwa gharama inflation.
Kwa nini saudia ni hatari? Kwa sababu kiwango cha dollar anachotumia kufanya biashara ni kikubwa sana kusababisha madhara makubwa marekani na dunia kwa ujumla.
Naafikiana na wewe kabisaViwanda na mitambo huwezi kuendeshea solar. Huo umeme wenyewe unaotokana na gas lazma kuna application ya diesel kuendesha baadhi ya mitambo.
Wao itawezekana ila AFRICA bado sanaNaafikiana na wewe kabisa
Viwanda vitaendeshwa na diesel kwa sana tu na miaka mingi ijayo
Ila viwanda havitumii diesel nyingi hivyo kama magari na ndio maana wanapambana kuhakikisha magari yanakuwa ya umeme
Nchi kama Germany na Holland wako mbali sana hata malori yanaenda kwa umeme na bila dereva pia
Kwa sasa kuna barabara zina chajisha magari huku unatembea juu yake na unalipia kwa mwezi au kila unapochaji
Kwa Ulaya wamefika mbali sana
Kweli soko lipo ila wameamua sasa na huku ulaya ukiwa na Gari la diesel la kizamani kama ni Lorry utalipa hela zaidiSoko la gari za mafuta liko Africa. Bado watauza sana gari za mafuta na hivyo hivyo huko ulaya sio nchi zote zimekubaliana na habari za kununua gari za umeme.
Advancement ikifikia gari itembee kilometre 1000+ kwa single charge huenda zikanunuliwa zaidi ila kwa sasa bado sana.
Huo si mfumo wameweka ili ku encourage mnunue za umemeKweli soko lipo ila wameamua sasa na huku ulaya ukiwa na Gari la diesel la kizamani kama ni Lorry utalipa hela zaidi
Kuna camera kila barabara hapa [emoji636] wanaita ULEZ ( Ultra Low Emission Zone
Nilipita na lorry la zamani bila kujua sheria mara nne nilipigwa camera na faini ilikuja £2000 karibu 6m ya bongo
Na ukiwa na electric car hulipi Road tax kabisa
Wakati mimi nalipa gari yangu £700 kwa mwaka
Mkuu labda na Africa wachimbe mafuta kama ya Uganda na sisi labda
Tutahitaji sana mafuta ila kwa wazungu wanataka hewa Safi kama wanavyosema ila ni biashara pia kwa kutaka magari ya umeme
Wao wakiamua wanafanya mkuu
Kweli kabisa mkuu $$$$ zipo sana na Saudia hawezi kuwachezea sharubu America hata siku mojaHuwa nawashangaa Watanzania, mtu anajiokotea habari huko mtandaoni na kupost bila verify
Saudi hawezi dump dollar maana ataumia yeye.
China mwenyewe hafanyi dollar dumping
Hii taarifa ukute hata Saudia wenyewe hawaijui[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kabisa mkuu $$$$ zipo sana na Saudia hawezi kuwachezea sharubu America hata siku moja
Gaddafi alijaribu wakammaliza
Saudia hawezi kwani jeuri yote ni kutoka kwa huyo huyo America
Fake news zipo hata Trump alikuwa anatukumbusha kila siku [emoji1]
Basi naanza kuifuatilia sasaUtaisikia wapi,ninyi mmezoea main stream media kama BBC,Aljazeera,CNN,CGTN,SkyNews etc.,ambapo mnalishwa mataka taka or fake news.Natural News is an independent news source,ambapo mabeberu hawana mkono wao,so you get the real news about them.Mainstream Media reports what they:the NWO Cabal, wants you to hear.
Na itabidi mkuu maana nakumbuka bei ya mafuta ilivyokuwa na leo tunalipa ghali mno mkuuHuo si mfumo wameweka ili ku encourage mnunue za umeme
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hii taarifa ukute hata Saudia wenyewe hawaijui[emoji23][emoji23][emoji23]
Pale Saudi Marekani anamuongezea Nguvu Qatar na HouthisKweli kabisa mkuu $$$$ zipo sana na Saudia hawezi kuwachezea sharubu America hata siku moja
Gaddafi alijaribu wakammaliza
Saudia hawezi kwani jeuri yote ni kutoka kwa huyo huyo America
Fake news zipo hata Trump alikuwa anatukumbusha kila siku [emoji1]
Kuna vitu Africa havitafika mkuu maana ukiangali machinery zao unasema kweli tutawwfikia hawa jamaaWao itawezekana ila AFRICA bado sana
Kweli hawawezi kuacha matumizi ya mafuta ila kwa mwendo wa haya magari ya umeme na majumba ya solar na wind turbinesBado mafuta yatahitajika kwa muda mrefu sana ujao mkuu.
Huko ni giza mpaka akili zaoBongo yatakuwa dili kuendeshea generators maana chini ya mdudu ccm hakuna siku kero ya umeme itaisha nchi hii kila siku hali inazidi kuwa mbaya.