Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

Lakini Saudi sio kwamba anauza mafuta yake kwa dola ili kumfurahisha Marekani, anauza kwa dola sababu dola ndio most stable currency

Hata China hifadhi yake ya fedha ya kigeni kaweka kwa dollar sio kwa kumfurahisha Marekani, ameona ndio salama
Ni biashara sio hisani
Jibu zuri sana
 
China mwenyewe anaombea siku zote pesa yake iwe chini kwa dollar ili watu wanunue kwake, na ndo maana kaifix 6.2-6.8
 
Kweli hawawezi kuacha matumizi ya mafuta ila kwa mwendo wa haya magari ya umeme na majumba ya solar na wind turbines
Basi mafuta yatatumika kiasi tu

Hebu imagine ulaya na mataifa makubwa wanatengeneza magari ya umeme kama vichaa
Unafikiri hapo mafuta kiasi gani hayajatumika

Mpaka VW ametoa magari ya umeme mpaka natamani nijipige moja
Ila tatizo hayana sauti kabisa bora nibaki na Gari langu nilipe wanachotaka ila roho inaridhika

Gari mlio bwana, fikiria kelele ya cayenne GTS



Soma article ifuatayo,itakupa more insight into the subject.Solar power na wind energy haviwezi ku-replace mafuta ever.

 
Fall of USA is the fall of the world,hizo ni ndoto tena saudia ndio kibaraka mkubwa wa USA ingekua mchina au mrussi kasema hivyo sawa.
Hapo ni sawa na Zitto Kabwe aseme utawala wa Ccm umefika mwisho wakati inajulikana hata chama anachokiongoza ni tawi dogo la Ccm
 
Hadi zije kua common sio leo,,,,tena zile full electric bado kabisa kuna gari chache sana ambazo ni full electric na nyingi ni ndogo hazina nguvu, kwa sasa wengi wanatumia hybrid inakua inatumia mafuta na umeme,,,,,.....gari za mafuta hadi zije kuondoka kabisa sijui kama wengine tutakua hai hasa kwa huku africa wazee wa used cars
Sio tu used car
Hata Used ideas.

Africans are the garbages of the world, kazi kuomba omba na kulia lia tu.
 
Jibu zuri sana
Dola ni stable currency.
Hii taarifa ukute hata Saudia wenyewe hawaijui[emoji23][emoji23][emoji23]
You are burrying your head in the sand mkuu.Mimi naamini sources zangu.After all Saudi Arabia has been moving away from the US and towards BRICS for a long time,and we new it was just a matter of time before it ditched the US $.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] at the same time mnasema habari zote ziko controlled na hao hao westerns leta chanzo kimojawapo tofauti na westernmedia kinacho eleza hizi habari zako unazo letaga umu jukwaan
Aliyekuambia vyombo vyote viko controlled na the West ni nani.Vyombo vinavyokuwa controlled na the West or the NWO Cabal if you wish ni Main stream media.Hata hivyo zipo independent media nyingi tu,ambazo the NWO Cabal do not control,huko ndiko unakoweza kupata habari ambazo hazija chakachuliwa.
 
Mkuu technology ya engine ya gari inayotumia umeme kiukweli bado haijakuwa perfected,so there is a long way to go.

Wind turbines nazo wala haziwezi ku-replace mafuta.As I said with respect to the car engine, the wind turbine technology is still being perfected na wenyewe wanasema there is no possiblity kwamba upepo unaweza kuwa mwingi kuweza ku-supply enough power.

Solar energy?Hii ina disadvantages nyingi including occupying large areas,low efficiency in power production and waste product disposal problems especially in health.
Mbona wanatumia sana yote hayo na kila leo yanaongezeka
Sasa tubishane kwa kusoma au kuona
Uk ukiweka solar nyumba yako na kuibadili kutoka umeme serikali inakupa nusu ya gharama

Tujipe hope na Africa wabuni chochote
 
Dola ni stable currency.

You are burrying your head in the sand mkuu.Mimi naamini sources zangu.After all Saudi Arabia has been moving away from the US and towards BRICS for a long time,and we new it was just a matter of time before it ditched the US $.
Kwahiyo hiyo taarifa ipo kwenye source zako Tu maana hata media za Saudia nimeitafuta HAIPO[emoji23].

Ila si vibaya kuota,we endelea kuota ila Dollar haiendi kokote na thread kama hizi sio mara ya Kwanza kuletwa hata mwakani na miaka inayokuja zitaletwa lkn Dola itakua palepale.
 
Mbona wanatumia sana yote hayo na kila leo yanaongezeka
Sasa tubishane kwa kusoma au kuona
Uk ukiweka solar nyumba yako na kuibadili kutoka umeme serikali inakupa nusu ya gharama

Tujipe hope na Africa wabuni chochote
Ukiweka Solar wanakulipa kwa kuwa kuna agenda kichaa ya "Net Zero Carbon Emmision." Actually nia halisi ya Net Zero Carbon Emmission ni depopulation.Mkuu I am sure of what I am talking about, wala sina sababu ya kubishana na wewe,na wala sitaki.
 
Kwahiyo hiyo taarifa ipo kwenye source zako Tu maana hata media za Saudia nimeitafuta HAIPO[emoji23].

Ila si vibaya kuota,we endelea kuota ila Dollar haiendi kokote na thread kama hizi sio mara ya Kwanza kuletwa hata mwakani na miaka inayokuja zitaletwa lkn Dola itakua palepale.
Wewe ndiye unayeota unayekataa ukweli.Wamarekani wameku-zombify mpaka huuoni ukweli.Sisi wenzio we knew this was coming,so sio surprise to us.
Kama unasubiri kuona taarifa hizi kwenye Main Stream Media za Saudia hutaziona,na utasubiri sana.Taarifa hizi zinapatikana kwenye independent media tu.
 
Wewe ndiye unayeota unayekataa ukweli.Wamarekani wameku-zombify mpaka huuoni ukweli.Sisi wenzio we knew this was coming,so sio surprise to us.
Kama unasubiri kuona taarifa hizi kwenye Main Stream Media za Saudia hutaziona,na utasubiri sana.Taarifa hizi zinapatikana kwenye independent media tu.
Independent media ya Mathanzua au sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hadi zije kua common sio leo,,,,,.....gari za mafuta hadi zije kuondoka kabisa sijui kama wengine tutakua hai hasa kwa huku africa wazee wa used cars

So as The fall of America mkuu
 
Sisi ni watafiti,sio wa kusiliza udaku kwenye vijiwe vya kahawa na kusoma Mtanzania,Uhuru,Nipashe, Habari leo etc. na kusikiliza ITV,TBC,Channel 10,Clouds TV, au BBC kama wewe,We look for true,authentic state of the art information.Siwezi kuleta pumba hapa, kwa kuwa nia yangu ni kuelimisha.
Ile tarehe 6 mwezi wa kwanza ulisema nini kitatokea?
 
Mtu yeyote akifanya hivyo atakuwa kakosea sana.Hakuna issue ya dini hapa.Wanauza mafuta yao popote,watauza nchi za Kiislamu na Kikristo, ila Dollar ya Marekani haitatumika as "the only" Currency in oil transantions.Una Yuan lete,una Ruble lete,una South African Rand lete,una Indian Rupee lete,bora tu iwe convertible na backed by a commodity like Gold or Silver,isiwe Fiat Currency kama ilivyo US $ kwa sasa.
Na Saudi wakitaka kununua vitu kutoka US mfano silaha na mitambo ya kuchimba mafuta, watatumia currency gani?
Na China akiuza bidhaa zake US, atalipwa kwa hela gani na ataitumiaje hiyo hela kama si kwa kiasi kikubwa kununua mafuta?
 
OPERATION SANDMAN now activated. Saudi Arabia announces END of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire
Wednesday, January 18, 2023

As we have consistently warned for more than a year, Operation Sandman has now been activated, with Saudi Minister of Finance, Mohammed Al-Jadaan, telling Bloomberg TV (during a WEF Davos interview) that the Saudis will gladly accept all currencies for settling oil transactions. (Reported by OilPrice.com)
The foundational pillar of US global currency dominance and its ability to export inflation to the world is based on the so-called Petrodollar status, in which the US agreed to protect the (corrupt) Saudi kingdom in exchange for the Saudis demanding US dollars for all oil transaction settlements. This agreement has been in place since the Bretton Woods conference in 1944 and has carried the dollar until today.
But this arrangement is now coming to an end.

Very few Americans have any clue what this means to their assets and their future.
Also, very few people realize that over 100 nations are prepared to renounce the petrodollar as the dominant currency for oil settlements. Instead, many nations are going to switch to using the Yuan (from China), or the digital Yuan, or the new BRICS+ commodities-backed reserve currency that’s about to be launched by China, Russia, India and other participating nations.

The dominoes have been set into motion. And as this plays out, it means dollars will come flooding back to the United States as world nations dump the greenback fiat currency they no longer need. This means dollars will experience rapid devaluation in their purchasing power, which will be reflected in higher prices — i.e. inflation — in consumer goods such as groceries, automobiles and more.

Although this will take time to be fully realized, it also means that those people left holding dollars will be financial ruined as dollar purchasing power evaporates. The government response to all this is almost certain to include a new wave of mindless money printing, adding yet more dollar inventory to the flood of dollars being dumped by nations of the world. The end game is, of course, hyperinflation as the dollar loses not just 2% of its purchasing power per month, but may even slide into losing 10%, 20% or even more per month (in the final blowout stage). Think Weimar Germany as the end game here.
Protecting assets now becomes a matter of urgency
Among informed Americans — and anyone holding dollars — protecting assets must now become a top priority. This means we should expect a rapid shift of excess dollars into hard assets over the next several months: Gold, silver, land, vehicles, ammunition, firearms, food, etc. Check Comex silver inventories if you want to know what the insiders are already doing (hint: They are taking physical delivery of precious metals and emptying the vaults).

It also means that the prices we see today in almost everything are likely the lowest prices we’ll see for years to come. At some point, plummeting populations (mass vaccine die-offs) and rising interest rates will have a strong deflationary effect, but that doesn’t seem to be in the cards for 2023 or even 2024. All the strongest factors remain inflationary, and the Saudi decision to sell oil in currencies other than dollars is going to devalue dollars which means consumer prices will be inflated in dollars.

We strongly urge all readers to investigate strategies for asset diversification and reducing exposure to dollars, dollar-denominated assets (such as bonds) and the entire US banking system which seems increasingly fragile.

Learn more in today’s Situation Update podcast:
– Saudi Arabia declares willing to trade oil in currencies other than the dollar
– Operation Sandman has begun, and the dominoes will now begin to fall
– US dollar will head down path of hyper-devaluation as dollars flood back to the USA
– Those people left holding dollars instead of real assets will be wiped out
– Was the FAA subjected to a ransomware cyber attack that grounded all flights?
– The incompetent, illegitimate Biden regime can’t protect America’s infrastructure
– China already has a MAP of all cyber vulnerabilities across US infrastructure
– Russia preparing for major offensive against Ukraine and NATO targets
– Russia confirms it is facing an existential threat; will likely target NATO bases
– WEF leaders and attendees were likely told they might be targeted by missiles
– China set to coordinate cyber attacks with Russia’s kinetic attacks
– The era of western dominance over the world is coming to an end
– Russia to boost standing army to 1.5 million troops – mobilization under way
– Western nations begin sending tanks to Ukraine
– Ukraine cannot effectively deploy COMBINED ARMS, so the tanks hardly matter
– The world of low cost consumer goods is OVER global supply chains will crater.

Sources:
Natural News
Brighteon.com/c83e5d1f-305d-465b-b2cc-4b187d967c5b
Rumble: Rumble.com/v264li8-situation-update-11823-saudi-arabia-to-end-dollar-dominance-in-global-oil-t.html
Bitchute: Bitchute.com/video/59O3TWdW2Laa/
Banned.Video: Banned.video/watch?id=63c808d93315ed1aa6a46e42
iTunes podcast: Healthrangerreport.com/situation-update-jan-18-2023-saudi-arabia-to-end-dollar-dominance-in-global-oil-trade-operation-sandman-activated
Saudi Arabia will never turn their back on US … the Saudi Kingdom is still existing because of military security from US … Saudi ndio nchi ya pili kupewa silaha nyingi kila mwaka na US … wewe unazani Kwa nini US ina mafuta ya akiba mengi kuliko nchi yeyote duniani ?
 
Kwanza US tayari mpaka ukifika mwaka 2030 watakuwa wamekata matumizi ya mafuta Kwa asilimia 70 … California ikifika 2030 ni marufuku kuendesha gari zinazotumia mafuta huku wanajenga power charger kila kituo cha mafuta na vituo barabarani ukinunua gari ya electric hulipi kodi sikuizi kampuni za magari huku hazitengenezi gari mpya za kutumia mafuta tena 😀
 
Saudi Arabia will never turn their back on US … the Saudi Kingdom is still existing because of military security from US … Saudi ndio nchi ya pili kupewa silaha nyingi kila mwaka na US … wewe unazani Kwa nini US ina mafuta ya akiba mengi kuliko nchi yeyote duniani ?
Wameshayauza mkuu.Continue to burry your head in the sand,the America you knew is no more,the Empire of lies and evil is crumbling.This is a fact and is happening right in front of our eyes.Many empires have collapsed before America, so the American collapsing will not be a surprise.
 
Na Saudi wakitaka kununua vitu kutoka US mfano silaha na mitambo ya kuchimba mafuta, watatumia currency gani?
Na China akiuza bidhaa zake US, atalipwa kwa hela gani na ataitumiaje hiyo hela kama si kwa kiasi kikubwa kununua mafuta?
Kwa hali ilivyo sasa Saudia hawana lazima ya kununua mitambo from the US,wanaweza kununua from Europe, China,au hata Russia,ila kama wakinua they will use the US$.China also kama watanunua anything from the US watanunua in US $.

Jambo la ku-note however is that the US has little to offer the World in terms of products,except military products,but here again countries are turning to China and Russia for their supplies.This means reduced demand for the US$ and hence a weaker America.
What Saudi Arabia has done has a very significant impact on the US economy.

The fact is America is now very worried about other countries following the example of Saudi Arabia,and to me there is no doubt that will happen,because America has proved itself to be a bully and an unreliable partner.Infact more and more countries are applying to join BRICS.
 
Back
Top Bottom