Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

Kuwapa rasilimali waarabu na wazungu hasa Marekani ni kukaribisha ugaidi na magaidi .

Hawa ndio Muhimili mikuu ya ugaidi .

Mtawapa wanajeshi wetu kazi kubwa ya kuuawa na magaidi wakati huo akina Adbdul watakua wanaishi Oman.

Watanganyika amkeni mtete nchi yenu kama Jeshi limeshindwa kulinda mipaka ya nchi dhidi ya mabeberu .
Fursa nyingi zinatolewa kichawa ,rushwa ,kirafiki na kidini .
Tanzania hatutaki mifumo ya kibeberu .
Saudi Arabia hata nchi nyingine za kiarabu hawawataki maana ni mawakala wa mabeberu hasa Marekani .

Ule ni uchochoro wa ukoloni mpya.

Samia ameifanya historia ya utumwa ijirudie Tanganyika .

Vijana wanaozaliwa leo watatulaumu sana na Wakati huo CCM itakua imekufa na waasisi wake wote .
🚮🚮
 
We are not interested na kumjua mmiliki wa kampuni, kampuni Huwa Zina Wana hisa wengi ,tunachotaka kuona ni urasimj unakwisha bandarini na Mapato yanaongezeka full stop.

Kwa sasa hata watu wetu wasiojulikana mnasema hamna haja ya kuwajua lakini Karma hua haiongopi mkuu . Kumbuka rasilimali za asili zimewekwa na Mungu na sio familia ya mtu .
Viwanda na ugunduzi na teknolojia kama ya wajapani au wakorea zile sio rasilimali za umma.

Rasilimali za umma ni mali ya umma . Tutamjua na siku inakuja na sio Mbali .
Historia inajirudia na mabadliko pia yanajirudia .
Yanayotokea huko Afrika ya Kati na magharibi yatasambaa Afrika nzima .
Kizazi hiki kinachokuja hakijui mambo ya imani za wageni na kuona wageni wakistawi huku wenyeji wakiwa watumwa wao.

Bandari haina tija yoyote kubwa .Ni Rushwa ndiyo inayowapogusha macho tu.

Hivi mtu anakusanya mil. 100 halafu 40 % anazipeleka Uarabuni 60 % inabaki wakati aliyeijenga bandari ni sisi wenyewe . Au tumejenga wenyewe halafu Watanganyika wenzetu wanakusanya mil. 100 wanakula kwa urefu wa kamba yao humu humu nchini na kusaidia familia na ndugu zetu humu na kujenga humu humu ,wanaona na kualewa humu humu ,wansomesha watoto na ndugu zao humu humu halafu inabaki wanakula 40 % na kupeleka serikalini 60% kipi ni bora tukiachana na ushabiki na chuki za kusema wale ni waarabu .

Lakini pia Wazawa waliharibu tuna mamlaka ya kuwafukuza kazi na kufilisi mali zao na hata kuwafunga . Kwa nini tunaacha kuwawajibisha au ni kutaka kuwafurahisha waliowaweka ndugu zao . ?Mbona akija mgani ni waafrika wale wale ndio wanaofanya kazi na yeye amekaa tu ofisini ?
Watu wetu wanauwezo tatizo ni siasa na chuki .
 
Mkopo wa kuongeza kina ili Ro-Ro barth ijengwe kupitia DMPG mkataba umesainiwa 2017 na Magufuli. Bado na barth zingine pia zilikuwa zinaongezewa kina.

Hilo limepunguza muda wa kushusha Magari na demurrage charges za bandari.

Gantry Cranes zilizopo hapo leo kanunua Magufuli ambazo zimepunguza meli kusubiri kutoka wastani wa siku 21+, mpaka siku tano leo.

Kabla Magufuli ajaona faida ya cranes mpya wala Ro-Ro, bandari ilitoa gawio la tsh 700 billion.

Imagine leo kuna Ro-Ro, Gantry Cranes, Idadi ya meli imeongezeka, demurrage charge zimepungua; lakini mapato yalishuka mpaka tsh 200 billion.

Halafu unaenda gawa port bure kabisa ambayo, ambapo kiongozi angekuwa mkali si ajabu sasa hivi mapato ni zaidi ya tsh 1.5 trillion.

Nchi ya pwagu na pwaguzi.
 
Kwa sasa hata watu wetu wasiojulikana mnasema hamna haja ya kuwajua lakini Karma hua haiongopi mkuu . Kumbuka rasilimali za asili zimewekwa na Mungu na sio familia ya mtu .
Viwanda na ugunduzi na teknolojia kama ya wajapani au wakorea zile sio rasilimali za umma.

Rasilimali za umma ni mali ya umma . Tutamjua na siku inakuja na sio Mbali .
Historia inajirudia na mabadliko pia yanajirudia .
Yanayotokea huko Afrika ya Kati na magharibi yatasambaa Afrika nzima .
Kizazi hiki kinachokuja hakijui mambo ya imani za wageni na kuona wageni wakistawi huku wenyeji wakiwa watumwa wao.

Bandari haina tija yoyote kubwa .Ni Rushwa ndiyo inayowapogusha macho tu.

Hivi mtu anakusanya mil. 100 halafu 40 % anazipeleka Uarabuni 60 % inabaki wakati aliyeijenga bandari ni sisi wenyewe . Au tumejenga wenyewe halafu Watanganyika wenzetu wanakusanya mil. 100 wanakula kwa urefu wa kamba yao humu humu nchini na kusaidia familia na ndugu zetu humu na kujenga humu humu ,wanaona na kualewa humu humu ,wansomesha watoto na ndugu zao humu humu halafu inabaki wanakula 40 % na kupeleka serikalini 60% kipi ni bora tukiachana na ushabiki na chuki za kusema wale ni waarabu .

Lakini pia Wazawa waliharibu tuna mamlaka ya kuwafukuza kazi na kufilisi mali zao na hata kuwafunga . Kwa nini tunaacha kuwawajibisha au ni kutaka kuwafurahisha waliowaweka ndugu zao . ?Mbona akija mgani ni waafrika wale wale ndio wanaofanya kazi na yeye amekaa tu ofisini ?
Watu wetu wanauwezo tatizo ni siasa na chuki .
Yaan sijui mtu mweusi atashituka lini kwamba hakuna mtu mweupe au so called mwekezaji atatufanyia kazi sisi afu eti tutajirike haipo hiyo.ivi haiwezekani kabisa sisi kuendesha bandari na sekta zingine bila msaada wa mzungu au mwarabu???Mungu aingilie kati haya yote na atufanyie wepesi kama nchi
 
Mkataba wa hili jambo nao ni Siri? Vipengele tunaweza kuviona vya namna watakavyotumia haki ya kumiliki?
Haijafikia hiyo stage,ilifika mtaarifiwa.

Mikataba yote ni Siri au wewe u ajua mkataba gani ulio wazi?
 
Kwa sasa hata watu wetu wasiojulikana mnasema hamna haja ya kuwajua lakini Karma hua haiongopi mkuu . Kumbuka rasilimali za asili zimewekwa na Mungu na sio familia ya mtu .
Viwanda na ugunduzi na teknolojia kama ya wajapani au wakorea zile sio rasilimali za umma.

Rasilimali za umma ni mali ya umma . Tutamjua na siku inakuja na sio Mbali .
Historia inajirudia na mabadliko pia yanajirudia .
Yanayotokea huko Afrika ya Kati na magharibi yatasambaa Afrika nzima .
Kizazi hiki kinachokuja hakijui mambo ya imani za wageni na kuona wageni wakistawi huku wenyeji wakiwa watumwa wao.

Bandari haina tija yoyote kubwa .Ni Rushwa ndiyo inayowapogusha macho tu.

Hivi mtu anakusanya mil. 100 halafu 40 % anazipeleka Uarabuni 60 % inabaki wakati aliyeijenga bandari ni sisi wenyewe . Au tumejenga wenyewe halafu Watanganyika wenzetu wanakusanya mil. 100 wanakula kwa urefu wa kamba yao humu humu nchini na kusaidia familia na ndugu zetu humu na kujenga humu humu ,wanaona na kualewa humu humu ,wansomesha watoto na ndugu zao humu humu halafu inabaki wanakula 40 % na kupeleka serikalini 60% kipi ni bora tukiachana na ushabiki na chuki za kusema wale ni waarabu .

Lakini pia Wazawa waliharibu tuna mamlaka ya kuwafukuza kazi na kufilisi mali zao na hata kuwafunga . Kwa nini tunaacha kuwawajibisha au ni kutaka kuwafurahisha waliowaweka ndugu zao . ?Mbona akija mgani ni waafrika wale wale ndio wanaofanya kazi na yeye amekaa tu ofisini ?
Watu wetu wanauwezo tatizo ni siasa na chuki .
Hiyo 60% ni kubwa zaidi kuliko wakati mpo.

Si mlikuwepo hapo kabla ya wawekezaji,Kuna jipya na ufanisi upi mlileta?

Swala la kujengwa Bandari ni sawa na kujenga reli na kuwapa watu kuendesha au.kujenga epz na kuita wawekezaji au kujenga nyumba na kumpa mpangaji
 
Kuna hii hapa inakanusha kuhusu mkataba; sijui kama ni genuine

IMG-20250214-WA0008.jpg
 
Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza, kampuni ya SADC kutoka Saudi Arabia baada ya China na Oman Kushindwa Kuendeleza. Pia soma Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo

Swali ni Je mfupa ulimshinda fisi, saizi utatekelezeka? Tusubirie tuone.

My Take
Hawa wajenge Bandari from scratch kama China inavyofanya Peru na wakishindwa watimuliwe kama mbwa bila fidia.

View: https://youtu.be/EuCAghUvins?feature=shared

Binafsi napendelea hii Bandari ijengwe haraka,tumecheleshwa sana ndugu zangu 👇👇
media="youtube:8oPVZVrymdk"]
View: https://youtu.be/8oPVZVrymdk?feature=shared[/URL]

====

Saudi Arabia ilitangaza uwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania, kama sehemu ya mradi wa “East Gate,” ambao unalenga kuboresha nafasi ya Saudi Arabia kama kitovu cha biashara duniani.

Uwekezaji huu mkubwa una lengo la kufungua kufungua fursa mpya za uwekezaji kwa kampuni za Saudi Arabia katika sekta muhimu, na kutoa fursa za masoko kwa kusafirisha bidhaa za Saudi kwenda katika masoko ya Afrika.

****

In a major strategic move, the Kingdom of Saudi Arabia announced its acquisition of Bagamoyo Port in Tanzania, as part of the “East Gate” project, which aims to enhance the region’s position as a global trade hub.

This huge investment comes within the framework of the Kingdom’s efforts to open new investment horizons for Saudi companies in vital sectors, and provide marketing outlets for exporting Saudi products to African markets.

Project details

Port location: Bagamoyo Port is located on the eastern coast of Tanzania, and is considered one of the most important ports in East Africa.

Total area: The project area is 800 hectares, making it one of the largest maritime projects in the region.

Capacity: The port will be able to accommodate 20 million containers annually upon completion, making it a strong competitor to major ports in the region such as Mombasa Port in Kenya and Dar es Salaam Port in Tanzania.

Project cost: The total cost of the project is $10 billion, which includes the development of infrastructure and logistics facilities.

Angalizo:
Zingatia Taarifa ya Serikali ya Tanzania & Saudia kwamba Bandari ya Bagamoyo Haijuzwa Wala Kutolewa popote.

View: https://www.instagram.com/p/DGBF7YZo7h9/?igsh=c2JjbGMwdGdoY2Z2
[URL unfurl
View attachment 3236004

Source: Archup.net

View: https://www.instagram.com/p/DGCn_EIIY12/?igsh=YzY2OGQ4eXc0ZGpq
 
Hii siyo sawa. For national security reasons, kuna vitu ambavyo havipaswi kuwa controlled na foreigner. Bandari ni moja ya hivyo vitu!
Especially kama hakuna ulazima . Na kwa sasa tupo vizuri kwenye uchumi unless tumeshirutishwa
 
Hiyo 60% ni kubwa zaidi kuliko wakati mpo.

Si mlikuwepo hapo kabla ya wawekezaji,Kuna jipya na ufanisi upi mlileta?

Swala la kujengwa Bandari ni sawa na kujenga reli na kuwapa watu kuendesha au.kujenga epz na kuita wawekezaji au kujenga nyumba na kumpa mpangaji
Hebu tupe inefficieny ya bandari chini ya mwekezaji mpya
 
Hoja ya haraka ipelekwe bungeni Dodoma , sera hii ya serikali ya CCM kugawa mapande ya nchi ya Tanganyika Ihojiwe kwa kina

14 February 2025
Lilongwe, Malawi

STATE OF THE NATIONS ADDRESS (SONA) BY HIS EXCELLENCE DR LAZARUS CHAKWERA THE PRESIDENT OF MALAWI

View: https://m.youtube.com/watch?v=e2ZaPb4-Y5A

All is set for the opening of the 51st Session of Parliament in Lilongwe.President Dr Lazarus Chakwera is expected to open the 51st Session at the Parliament Building in Lilongwe this morning.According to communication from the office of the Speaker of the National Assembly, President Chakwera is expected to start delivering

CHAWA WAKIWA WAMEJITOKEZA BUNGENI MJINI LILONGWE MALAWI KUSHANGILIA HOTUBA

View: https://m.youtube.com/watch?v=BOivc33JFGY
Yote yamepangwa kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa 51 wa Bunge mjini Lilongwe. Rais Dk Lazarus Chakwera anatarajiwa kufungua Mkutano wa 51 katika Jengo la Bunge mjini Lilongwe leo asubuhi. Kwa mujibu wa mawasiliano kutoka ofisi ya Spika wa Bunge,Rais Chakwera anatarajiwa kuanza kuwasilisha hotuba kuhusu muelekeo wa nchi pamoja na mustakhabali wa muda mfupi hadi mrefu kufikia malengo
 
Yaan sijui mtu mweusi atashituka lini kwamba hakuna mtu mweupe au so called mwekezaji atatufanyia kazi sisi afu eti tutajirike haipo hiyo.ivi haiwezekani kabisa sisi kuendesha bandari na sekta zingine bila msaada wa mzungu au mwarabu???Mungu aingilie kati haya yote na atufanyie wepesi kama nchi
Binafsi mimi huwa najiulizaga sana.

Hili taifa sasa lina miaka zaidi ya 60 tangu lipate uhuru na hatujawahi kupitia civil war yoyote ile, tafsiri yake ni kwamba tumekuwa na zaidi ya mirongo sita ya kujijenga sisi wenyewe straight bila bugudha yoyote ile.

Taifa hili lina idadi ya watu 61m na miongoni mwao kuna wasomi,wabobezi na wataalamu wa fani fani mbali mbali hata kama sio kwa uwingi.

Sasa tunashindwa vipi kupata waatalamu wazawa wale ambao ni vichwa kabisa wa kutuendeshea hizi sectors zetu muhimu kama bandari kwa ufanisi zaidi? Yaani kwamba kwa miaka yote hiyo hatujaandaa kabisa wataalamu wa kutuendeshea vyanzo vya mapato kwa uwezo kiwango sawa na hao wageni tunaowakaribisha?

Kuna watanzania ambao wamegraduate vyuo vikubwa na vyenye hadhi ya juu kabisa hapa duniani kama Oxford,Princeton,Colombia na Havard... hao wakishagraduate huwa wanaenda wapi? Au wanaenda kuyatumia maarifa yao wapi?

Staki kabisa kuamini eti taifa hili halina watu wenye waledi kiasi cha kutuendeshea sector zetu za kiuchumi kwa ufanisi sawa na hao wawekezaji tunaowakabidhi watuendeshe.
 
Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza, kampuni ya SADC kutoka Saudi Arabia baada ya China na Oman Kushindwa Kuendeleza. Pia soma Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo

Swali ni Je mfupa ulimshinda fisi, saizi utatekelezeka? Tusubirie tuone.

My Take
Hawa wajenge Bandari from scratch kama China inavyofanya Peru na wakishindwa watimuliwe kama mbwa bila fidia.

View: https://youtu.be/EuCAghUvins?feature=shared

Binafsi napendelea hii Bandari ijengwe haraka,tumecheleshwa sana ndugu zangu 👇👇
media="youtube:8oPVZVrymdk"]
View: https://youtu.be/8oPVZVrymdk?feature=shared[/URL]

====

Saudi Arabia ilitangaza uwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania, kama sehemu ya mradi wa “East Gate,” ambao unalenga kuboresha nafasi ya Saudi Arabia kama kitovu cha biashara duniani.

Uwekezaji huu mkubwa una lengo la kufungua kufungua fursa mpya za uwekezaji kwa kampuni za Saudi Arabia katika sekta muhimu, na kutoa fursa za masoko kwa kusafirisha bidhaa za Saudi kwenda katika masoko ya Afrika.

****

In a major strategic move, the Kingdom of Saudi Arabia announced its acquisition of Bagamoyo Port in Tanzania, as part of the “East Gate” project, which aims to enhance the region’s position as a global trade hub.

This huge investment comes within the framework of the Kingdom’s efforts to open new investment horizons for Saudi companies in vital sectors, and provide marketing outlets for exporting Saudi products to African markets.

Project details

Port location: Bagamoyo Port is located on the eastern coast of Tanzania, and is considered one of the most important ports in East Africa.

Total area: The project area is 800 hectares, making it one of the largest maritime projects in the region.

Capacity: The port will be able to accommodate 20 million containers annually upon completion, making it a strong competitor to major ports in the region such as Mombasa Port in Kenya and Dar es Salaam Port in Tanzania.

Project cost: The total cost of the project is $10 billion, which includes the development of infrastructure and logistics facilities.

Angalizo:
Zingatia Taarifa ya Serikali ya Tanzania & Saudia kwamba Bandari ya Bagamoyo Haijuzwa Wala Kutolewa popote.

View: https://www.instagram.com/p/DGBF7YZo7h9/?igsh=c2JjbGMwdGdoY2Z2
[URL unfurl
View attachment 3236004

Source: Archup.net

View: https://www.instagram.com/p/DGDHss_CQxV/?igsh=OTd4anRwcW1ucnh4
 
Back
Top Bottom