Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

SIASA NA SKENDO (SCANDAL)

Kumilikishwa Bandari ya Bagamoyo ni skandali (scandal) pia ni Kinyume na matarajio na desturi za jamii, raia sasa wanapaza sauti

View: https://m.youtube.com/watch?v=BblStJ0mvcY

  • Imegusa kundi na jumuiya pana ya raia ?
  • Je mkataba huu CCM inaweza kujitenga nao?
  • Je ni kikundi ndani ya CCM kinahusika, kummaliza kiongozi wao ?
  • Ni ujasusi wa kidola ?
  • Je ni shambulio dhidi ya taifa
  • Je ni msingi na lengo la kukuondelewa heshima ?
 
Back
Top Bottom