B bagamoyo JF-Expert Member Joined Jan 14, 2010 Posts 24,941 Reaction score 28,869 Feb 22, 2025 #221 SIASA NA SKENDO (SCANDAL) Kumilikishwa Bandari ya Bagamoyo ni skandali (scandal) pia ni Kinyume na matarajio na desturi za jamii, raia sasa wanapaza sauti View: https://m.youtube.com/watch?v=BblStJ0mvcY Imegusa kundi na jumuiya pana ya raia ? Je mkataba huu CCM inaweza kujitenga nao? Je ni kikundi ndani ya CCM kinahusika, kummaliza kiongozi wao ? Ni ujasusi wa kidola ? Je ni shambulio dhidi ya taifa Je ni msingi na lengo la kukuondelewa heshima ?
SIASA NA SKENDO (SCANDAL) Kumilikishwa Bandari ya Bagamoyo ni skandali (scandal) pia ni Kinyume na matarajio na desturi za jamii, raia sasa wanapaza sauti View: https://m.youtube.com/watch?v=BblStJ0mvcY Imegusa kundi na jumuiya pana ya raia ? Je mkataba huu CCM inaweza kujitenga nao? Je ni kikundi ndani ya CCM kinahusika, kummaliza kiongozi wao ? Ni ujasusi wa kidola ? Je ni shambulio dhidi ya taifa Je ni msingi na lengo la kukuondelewa heshima ?