Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate


Bandari ya Tanga na Mtwara coridor zao haziko kwenye T1,nafikiri unaelewa maana ya T1?

Tz tuna vessel routes mbili North bound and south bound zote zin prefer dar au Bagamoyo as their cheapest options.
Kwa mantiki hiyo.

Mtwara ni export zaidi na ni Hasara kwa wafanya biashara kupeleka meli kule sababu ya Volumes, kinachopeleka meli Mtwaracni season crop na coal from Ruvuma.

Most of vessel zinazo doc Mtwara ni charted one’s
 


Machawa mnashangilia nchi kuuzwa. Mkataba ni wa siri🤦🏾‍♂️ halafu hamja nufaika lolote. Nenda kaangalieni account za Addul na kampuni zake huko uarabuni. Yaani nyie ndiyo wale wajinga jinga tukiomba mkataba hapa mtakuwa wa kwanza kuwatetea wezi. Halafu mnajifanya wazalendo. Magufuli alikuwa anasema mikataba wazi sasa kwanini sasa kuna siri kama sio ufisadi
 
Lease or sale

Acquisition:

The Tanzanian authorities granted the Saudi African Investment and Development Co. (SADC) concession and acquisition rights for Bagamoyo Port in Tanzania, Saudi Press Agency reported, citing Chairman of Federation of Saudi Chambers of Commerce Hassan Al-Huwaizi.

The approval is part of SADC's (Saudi African Investment and Development Co. - SADC) "East Gateway Project," aimed at the East African region.
 

View: https://x.com/AzatAlsalim/status/1890086680536969408
 
Magufuli alipinga sana hili.
 
Tangu lini mikataba inawekwa Hadharani?
 
Hii siyo sawa. For national security reasons, kuna vitu ambavyo havipaswi kuwa controlled na foreigner. Bandari ni moja ya hivyo vitu!
 
Hizo Bandari zote hasa ya Tanga ikiwekewa miundombinu ni Bandari ya kimkakati Kwa Uganda,Eastern DRC,Lake Zone na Northern Tanzania.

Bagamoyo na Dar port zingeishia kuwa Bandari saidizi kama hiyo ya Tanga ingekuwa improved maana ndio shortest route ya trade.

Ndio maana Hadi Sasa Huwa EAC wanaitaka Tanznaia ifungue hiyo route na waifanyie geofencing.
 
Hii siyo sawa. For national security reasons, kuna vitu ambavyo havipaswi kuwa controlled na foreigner. Bandari ni moja ya hivyo vitu!
Hizo stori za national security Hazina mashiko Kwa sababu all over the world Bandari zinaendeshwa na private sector,hizo national security kwao hazipo? Wacha stori za kufikirika.
 
Msaudia ana pesa ! Swala la kushindwa kuendeleza mradi mdogo kama huo wa bandari ni ndoto!.
Huko ulaya na Amerika ana uwekezaji wa miradi miikubwa sana kuliko huu wa bandari.
 
Msaudia ana pesa ! Swala la kushindwa kuendeleza mradi mdogo kama huo wa bandari ni ndoto!.
Huko ulaya na Amerika ana uwekezaji wa miradi miikubwa sana kuliko huu wa bandari.
Safi,hii ndio inatakiwa Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…