Utawala wa Saudi Arabia hauna tofauti na utawala wa mazayuni, wote walisaidiwa kuwekwa madarakani na Muingereza. 1916 ukoo wa ibn Saud ulianza kusaidiwa na Muingereza uchukuwe madaraka, 1917 ukoo wa Rothschild ulianza kusaidiwa uchukuwe madaraka.
Saudi Arabia ikaanzishwa mwaka 1932, Israel ikaanzishwa 1948, zote kwa nguvu za Muingereza.
Zote hizo lengo lake kuu ni kujitanuwa (expansion) na kushika maeneo yote ya mashariki ya kati (Vibaraka).
Saudi Arabia na mazayuni ni wamoja kwa mitazamo yao na wanategemeana sana, siwashangai wakisaidiana lakini mwisho wa siku watageu
Utawala wa Saudi Arabia hauna tofauti na utawala wa mazayuni, wote walisaidiwa kuwekwa madarakani na Muingereza. 1916 ukoo wa ibn Saud ulianza kusaidiwa na Muingereza uchukuwe madaraka, 1917 ukoo wa Rothschild ulianza kusaidiwa uchukuwe madaraka.
Saudi Arabia ikaanzishwa mwaka 1932, Israel ikaanzishwa 1948, zote kwa nguvu za Muingereza.
Zote hizo lengo lake kuu ni kujitanuwa (expansion) na kushika maeneo yote ya mashariki ya kati (Vibaraka).
Saudi Arabia na mazayuni ni wamoja kwa mitazamo yao na wanategemeana sana, siwashangai wakisaidiana lakini mwisho wa siku watageukana.
Tatizo lako unausoma uislamu Kwa mtazamo wa wamagharibi