FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wewe unaenda hija?Mwana Mfalme WA Saudia Ameanza ku-Update uislamu!
Naona hata mawe ya kumpiga shetani na hija gharama itaongezeka!
Nakumbuka makomandoo wa Iran alipo ivamia alqaba aliyeokoa jahazi Yahudi!
Yahudi ni Mbia?? Au?!
Labda unasahau, Hija ya Kiislam ni kwa mwenye uwezo. Lini gharama za safari ya hija zilishuka?
Ziongezeke tu, wenye uwezo watakwenda, wasio na uwezo siyo lazima. Hija ni majaaliwa.
Uislam ni mwema sana.