Saudia na Marekani wanaisaidia Israel kuua watoto na kuiangamiza Palestina

Kilichotakiwa leo ni kuchukua hatua za papo kwa papo kushinikiza kusimamishwa vita.Saudia ina uwezo mkubwa kuliko wa wanamgambo wa Houth wa Yemen. Kinachotakiwa ni vitendo vyake na sio maneno na ahadi na hadaa mbele ya wajibu wake.
Tuambie Saudia wachukue hatua ipi kumaliza hii Vita ?

Na majirani wa Palestine yaani Jordan na Misri wao pia wachukue hatua ipi kumaliza Vita bila kuisahau 'Arab league' ?
 
Watawala wa kiimla wa kiarabu kuanzia Saudia, Qatar, Jordan n.k wanategemea ulinzi na uungwaji mkono kutoka Marekani na Uingereza ili kusalia madarakani.
 
Yaani penye jiwe la KAABA nchi imeanzishwa 1932!
 
Saudia na Iran nani ana nguvu zaidi? Hizi ni propoganda za mashia baada ya watu kuwaelewa kuwa ushujaa wao ni wa mdomoni.

Hivi Kwa mujibu wa Sheria za kiislamu Ili uweze kupigana uwiano wa nguvu na adui unatakiwa uweje?

Mmewachochea Hammas wakafanya kitendo kinachopelekea madhara zaidi Kwa wapalestina. Sasa mnaichochea Saudia. Unadhani ni wapuuzi?
Nani asiejua kuwa kupigana na WA Israeli ni kupambana na dunia nzima hadi mayahudi wa kupaka huku Tanzania.
 
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu una mbingu yako peke yako.Huwa nasoma comments zako huku nacheka mwanzo mwisho.Barikiwa sana
 
Kama unaumia sana nenda ukawasaidie hamas
 
Mayahudi wa tandale kwa tumbo sio
 
Leo umeongea cha maana bi mkubwa kongole

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
We jamaa kumbe una ujinga wa hivi? kwa hiyo hiki ni kipigo?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Tatizo we unadhani ujinga wako ndio wote wajinga, sa mimi wacha nikufamishe upate akili.

We unaona majumba ya Gaza tu yamevunjwa sababu hapo Gaza ni freedom kuonyesha kila kitu je umeona tv channels zinapewa freedom kule Israel, kuchukua majumba yalio vunjwa? Kwanini Israel haruhusu tv channels ziwe freedom kuchukua kila kitu?

Hivi we akilini kwako we unadhani Israel anatoa numbers za watu wake walio kufa ni kweli?

Kama unamuamini Israel basi we lazima kondoo awe bora kuliko we kiakili.

Majumba hayo ya Gaza yote kiujumla hayana uthamani kwa Asqalan industrial area iliopigwa na Hamasi kwa thamani yake.

Haya majumba ya Gaza hayana thamani kuliko vifaru zaidi ya 250 vilivyo vunjwa na magari ya kijeshi.

Hayo majumba ya Gaza hayana thamani kuliko maboom yalio tumika kuvunja hayo majumba

Hayo majumba hayana thamani kuliko Irone dome missiles zilizotumika kuangusha missiles za Hamasi

Uchumi wa Israel ulivyo anguka ni zaidi ya hayo majumba ya Gaza mara elfu.

Katika politics hasara aliyo ipata Israel haiwezi kurudi kama kabla ya vita mpaa nchi za Europe zimeanza mdharau.

Kiujumla we kwa kuwa kondoa lazima uone kondoo kashinda πŸ˜„
 
Mkuu ndiyo elimu za kizazi cha sasa wala usishangae
 
Point
 
Mijitu Kama hiii inachangia Israel iendeleee kuua watu tuuuu. Maana akipiga risasi moja anajisifu na kujificha kwy shimo. Wale wakiua uku na uku wanalia, kweli duniani waaarabu ni watu wajinga sana
 
Mijitu Kama hiii inachangia Israel iendeleee kuua watu tuuuu. Maana akipiga risasi moja anajisifu na kujificha kwy shimo. Wale wakiua uku na uku wanalia, kweli duniani waaarabu ni watu wajinga sana
Sa ikiwa warabu wajinga kama unavyo dai na wakiuwa mtu mmoja tu wanajisifu, hivi maneno yako kama ni kweli America pamoja na Europe wangepeleka majeshi yao kumsaidia Israel. Yani we unaona kuliko America na Israel πŸ˜„

Hebu we unaye sema Israel ndiye mwenye uwezo hebu nipe katika mambo ya askari kitu gani kashinda au kafanya? Sijaona alicho fanya zaidi ya kuvunja majumba, hospital hata kichaa hawezi rusha mawe hospital lakini jeshi unalo lisifia limeonyesha ujinga wao katika dunia.

Walingia hi vita kusema lazima waimalize Hamasi, naona Hamasi wanarusha missiles kama kawaida, wanavunja vifaru na kuwauwa wanajeshi wa Israel kuliko mwanzo.

Alshifaa hospital hawakupa kitu Central command ya Hamasi hawajui ipo wapi mpaa mda hu wataishia kuwadanganyeni vichaa kama nyie tu πŸ˜„
 
Hivi nchi zote hizo za kiislamic ulizozitaja teja zinaongwa na sharia inamaana ni vichaa kukaa kimyaa na kuwasusia hao hamas..
Si wajinga hao ila inawezekana wewe muislam mmoja uliyepo tanzania umeshavimbiwa biliani ndio unalopoka sasa..

Haya makundi ya kigaidi yanajipenyeza kwa gia ya dini nabkujinasibu na uislam ili watekereze hazma zao..

wameshtukiwa sasa nchi nyingi za kiislam zimeharibika kwa machafuko kwa vigezo vya kuwahifadhi hawa watu kwenye nchi zao.
 

View: https://twitter.com/i/status/1726246901992026319Kwa MTU mwenye akili timamu anajua walicho Fanya Hamas ni UPUMBAVU acha wale jeuli yao
 
Mwana Mfalme WA Saudia Ameanza ku-Update uislamu!
Naona hata mawe ya kumpiga shetani na hija gharama itaongezeka!
Nakumbuka makomandoo wa Iran alipo ivamia alqaba aliyeokoa jahazi Yahudi!
Yahudi ni Mbia?? Au?!
 
Lakini ni waislamu hawa!! Inakuwaje?

Sisi huwa tunaacha shuguhri zetu tunaenda kuhiji huko, sasa tuwaeleweje hawa Saudia?
Wanafiki siku ya kiama hukumu yao watawekwa tabaka la chini la moto.Kwa maana hawataweza kufurukuta.Ni mfano wa adhabu mbaya sana hiyo.
 
Tuambie Saudia wachukue hatua ipi kumaliza hii Vita ?

Na majirani wa Palestine yaani Jordan na Misri wao pia wachukue hatua ipi kumaliza Vita bila kuisahau 'Arab league' ?
Hatua za kufanya tumeshazipendekeza kitambo.Kwa Saudia akutanishe mataifa ya kiislamu watoe tamko na kuipa Israel muda maalumu wa kusitisha vita.Hatua nyengine atumie makombora yake kurusha Israel kama ikikataa tamko na kama akitokea mtu akapambana na Israel amwache afanye hivyo,asitungue makombora ya Houth.
Kwa Jordan na Misri wafanye mapigo ya chini kwa chini kwa kuachia wanamgambo wa nchi zao kuvuka mipaka na kuingia Israel kuendesha vita vya kuvizia.
 
Anaandika as if anakimbizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…