Wewe unaenda hija?Mwana Mfalme WA Saudia Ameanza ku-Update uislamu!
Naona hata mawe ya kumpiga shetani na hija gharama itaongezeka!
Nakumbuka makomandoo wa Iran alipo ivamia alqaba aliyeokoa jahazi Yahudi!
Yahudi ni Mbia?? Au?!
Kazeeka1. Mmuibgereza [emoji777] Muingereza [emoji736]
2. Nadaraka [emoji777] Madaraka [emoji736]
3. Ilianzq [emoji777] Ilianza [emoji736]
4. Kjsadiwa [emoji777] Kusaidiwa [emoji736]
5. Ikaqnzishwa [emoji777] Ikaanzishwa [emoji736]
6. Kujitanuwa [emoji777] Kujitanua [emoji736]
7. Nashariki [emoji777] Mashariki [emoji736]
Si kosa lako Ajuza bali ni........................
Both share the same father(Abraham)Utawala wa Saudi Arabia hauna tofauti na utawala wa mazayuni, wote walisaidiwa kuwekwa madarakani na Muingereza. 1916 ukoo wa ibn Saud ulianza kusaidiwa na Muingereza uchukuwe madaraka, 1917 ukoo wa Rothschild ulianza kusaidiwa uchukuwe madaraka.
Saudi Arabia ikaanzishwa mwaka 1932, Israel ikaanzishwa 1948, zote kwa nguvu za Muingereza.
Zote hizo lengo lake kuu ni kujitanuwa (expansion) na kushika maeneo yote ya mashariki ya kati (Vibaraka).
Saudi Arabia na mazayuni ni wamoja kwa mitazamo yao na wanategemeana sana, siwashangai wakisaidiana lakini mwisho wa siku watageukana.
Hata kitimoto wanakula kama mimi zayuni?Utawala wa Saudi Arabia hauna tofauti na utawala wa mazayuni, wote walisaidiwa kuwekwa madarakani na Muingereza. 1916 ukoo wa ibn Saud ulianza kusaidiwa na Muingereza uchukuwe madaraka, 1917 ukoo wa Rothschild ulianza kusaidiwa uchukuwe madaraka.
Saudi Arabia ikaanzishwa mwaka 1932, Israel ikaanzishwa 1948, zote kwa nguvu za Muingereza.
Zote hizo lengo lake kuu ni kujitanuwa (expansion) na kushika maeneo yote ya mashariki ya kati (Vibaraka).
Saudi Arabia na mazayuni ni wamoja kwa mitazamo yao na wanategemeana sana, siwashangai wakisaidiana lakini mwisho wa siku watageukana.
Hakuna Zayuni anayekula nguruwe, kafanye homework yako vizuri.Hata kitimoto wanakula kama mimi zayuni?
πππHuyu anatafutwa muda mrefu sana, akitia mguu tu kaisha.
Anaijua hiyo !!
Li adriz limelike1. Mmuibgereza [emoji777] Muingereza [emoji736]