Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Na kutengeneza kipato si lazima afanye matibabu. Anaweza kuwa hapo akisimamia wanaofanya matibabu na kwa sababu ana ujuzi hatodanganywa. Elimu yake bado inaitumia.Anapaswa awe na leseni. Zahanati hata kama ni ya kwako kama huna cheti huruhusiwi kufanya matibabu yoyote