Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,713
- 3,559
Kwanini wahitimu waligoma kurudisha kama hakuna shida? kama hakuna tatizo warudishe tu(Mlango wa kurudisha umeshafungwa)wahitimu 162 walikataa kimakusudi kurudisha nakala za masomo, 'Transcript' walizopewa bila ufahamu na uidhinishaji wa seneti ya chuo kikuu licha ya kukumbushwa kwa muda mrefu.
Nadhani wahitimu wanajua namna walivyopata hizo nyaraka za matokeo, ni kama wabunge 19 wa CDM walivyoingia Bungeni.ambazo walipewa bila baraza la senete la chuo kuwa na taarifa na kuziidhinisha.