Na kutengeneza kipato si lazima afanye matibabu. Anaweza kuwa hapo akisimamia wanaofanya matibabu na kwa sababu ana ujuzi hatodanganywa. Elimu yake bado inaitumia.Anapaswa awe na leseni. Zahanati hata kama ni ya kwako kama huna cheti huruhusiwi kufanya matibabu yoyote
Wakikugundua unakula permanent ban.Linabaki jina tu Doctor YUtafanya kimazabe sana labda kwa kujiajiri huko pembezoni sana na ukiingia kwenye 18 za watu ur done. Kwani usajili wako utakuwa umesitishwa. Atakaekuajiri naye ??
Ni kweli. Kama tu ambavyo si wote wenye vyeti wana ajira.Na tukubaliane si wote wenye hiyo akili/uwezo wa kutumia njia nyingine kujipatia kipato nnje ya formal ajira inayohitaji upresent cheti chako kwa mwajiri.Wapo watakao venture na kufanikiwa lakini ni wachache.Majority wataathirika
Inaonekana palikuwa na taratibu ambazo hazikuzaa matunda ndio maana chuo kimeamua kuja hadharaniNdiyo wametangaza hadharani sasa,assume ulikuwa umeajiriwa pale Kitengule Hospital si ajira ndiyo inakoma hapo hapo japo una maarifa yako kichwani? Nani ataendelea kukuajiri wakati huna cheti?
Wakaguzi wakija kwenye hospitali yangu wanakutana na mambo matamu kama asali na mmiliki hajasoma hata biology wala chemistry.Siku wakikudaka wakaguzi ndo utajua mkate unaweza geuka shubiriii 😀 😀 😀
We naye umekaza fuvu, sasa zahanati ataifungua bila kuwa ma cheti?Mkuu, hivi mtu mwenye elimu ya afya na uzoefu wa utendaji ukichukua cheti chake akaamua kufungua zahanati hiyo elimu haitamsaidia?
Na bora uende na kesi isiyo na misconduct, ukiharibu uwe umeiaga familia kabisa.Wakikugundua unakula permanent ban.Linabaki jina tu Doctor Y
Waliambiwa warudishe hawakutakaHilo baraza la seneti limejaa wakoloni watupu kwahiyo kama hao madaktari walishaajiriwa makazini ndio wanakuwa sio madaktari tena kwa ajili ya karatasi moja tu ya matokeo?
Wengine wako kazini kabisa tena mwaka wa 4 sasaJamani Jamani 🥲
Kwani hizo transcripts walijichukulia wenyewe?
Nyie kuweni na huruma na maisha ya watoto wa watu
Shule ya udaktari ilivyo ngumu[emoji119]kirahisi tu umfutie mtu elimu aliyoisotea kwa miaka 6[emoji15]!
Kwani wakati wanawapa hawakuona kama hazijaidhinishwa?
ausioo mzee baba..Wakaguzi wakija kwenye hospitali yangu wanakuta mambo ni matamu kama asali.
Ndiyo nasema si wote watafanikiwa kwa njia hiyo.80% walitegemea na wataendelea kutegemea kuajiriwa.Ujue Madaktati wengi wanapenda sana kufanya kazi na NGOs ambako kuna pesa bwerere za miradi ya Mama na mtoto,mara HIV,Maralia.Assume mtu alikuwa huko kwenye hiyo ajira hakuwahi hata kufikiria hili lingemtokea na hajawahi hata kupractize kutibu hospitalini.Mtu analazimika kurudi kwenye drawing table.Na kutengeneza kipato si lazima afanye matibabu. Anaweza kuwa hapo akisimamia wanaofanya matibabu na kwa sababu ana ujuzi hatodanganywa. Elimu yake bado inaitumia.
Wala sikujibu.We naye umekaza fuvu, sasa zahanati ataifungua bila kuwa ma cheti?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hahahaausioo mzee baba..
sio unawezaa huyo aliekuajirii na wew leseni zinaingia mchangaa...!! hii nchi kama huna document hata uwe specialist huna jipya yanii.Unaweza kupata permanent ban na ibaki historia tu kuwa ulisoma Udaktari
Wanawaonea watoto wa watu
Sahihi kabisa,Chuo hakiwezi kukurupuka.Wahitimu walijifanya wajanja na pengine hawakujua kuwa Chuo kina weza kuwanyang'anya hizo degree zao.Inaonekana palikuwa na taratibu ambazo hazikuzaa matunda ndio maana chuo kimeamua kuja hadharani
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Haiwezekani Mkuu.Na kutengeneza kipato si lazima afanye matibabu. Anaweza kuwa hapo akisimamia wanaofanya matibabu na kwa sababu ana ujuzi hatodanganywa. Elimu yake bado inaitumia.
Upo sawa. Unajua mm ninachosema, kama plan A imefeli, na watu wameamua kufunga mlango, fungua mwingine, usiende kufa. Fungua hata ng'o ya kusaidia watoto njiti utajua mbele kwa mbele potelea mbali.Ndiyo nasema si wote watafanikiwa kwa njia hiyo.80% walitegemea na wataendelea kutegemea kuajiriwa.Ujue Madaktati wengi wanapenda sana kufanya kazi na NGOs ambako kuna pesa bwerere za miradi ya Mama na mtoto,mara HIV,Maralia.Assume mtu alikuwa huko kwenye hiyo ajira hakuwahi hata kufikiria hili lingemtokea na hajawahi hata kupractize kutibu hospitalini.Mtu analazimika kurudi kwenye drawing table.