Kwanini wahitimu waligoma kurudisha kama hakuna shida? kama hakuna tatizo warudishe tu(Mlango wa kurudisha umeshafungwa)wahitimu 162 walikataa kimakusudi kurudisha nakala za masomo, 'Transcript' walizopewa bila ufahamu na uidhinishaji wa seneti ya chuo kikuu licha ya kukumbushwa kwa muda mrefu.
Nadhani wahitimu wanajua namna walivyopata hizo nyaraka za matokeo, ni kama wabunge 19 wa CDM walivyoingia Bungeni.ambazo walipewa bila baraza la senete la chuo kuwa na taarifa na kuziidhinisha.
Namaanisha kusimamia biashara yake ya matibabu inayofanywa na wenye vyetiHaiwezekani Mkuu.
Huwezi kusimamia matibabu kama huna kibali cha utabibu.
Na bahati mbaya ikutokea mambo yameenda kombo, labda surgery mgonjwa kafa na ulishiriki huku huna kibali , basi jiandae kujuta.
Hahahaha.Kwahiyo miaka 7 wananchi wametibiwa na madaktari fake?? Hii nchi haiko serious kabisaa. Lol
Mahakama gani italazimisha uhalali wa degree ya chuoUsijidanganye mkuu. Digrii zao na hadhi yake zipo pale pale. Ni suala la muda tuu.
Wakimkomalia huyo Prof. mahakamani atatengua kauli yake fasta. We subiri.
Kaendeshe barabarani bila leseni uoneHuu ni upumbavu na upuuzi wa ngazi ya PhD, Utamvuaje mtu maarifa aliyoyapata na yako kichwani? Hii ni sawa dereva anayejua kuendesha gari umnyime leseni hatashindwa kuendesha gari
Dah, halafu Hapo una mkopo bank dhamana ni nyumba yako.Hili suala wale waliopata ajira rasmi serikalini ndo watauonaa motoo vizurii yanii KESHO MBALII MABOSS WATAANZA KUWASUMBUA wasipoenda mahakamani kupindua haya maamuzi kibarua ndo kimeota nyasii yani huu mwezi ndo mshahara wa mwisho watakula. Chuo kimezingua snaaa haya maamuzi ya kukurupuka mnoo
Iweke hapa Mkuu tusiosome?Mbona Kuna taarifa wanaificha. SAUT nayo bana.
Shangaa wee mwenzanguHahahaha.
Kwanini wamekataa kurudisha?Wamekataa kurudisha transcript mliwapa za Nini?
Unafuta vyeti feki na vyuo kumbe wametoa feki.Shangaa wee mwenzangu
Acha tuu mkuu sio poaa kabisaa... maamuzi ya ovyoo sanaDah, halafu Hapo una mkopo bank dhamana ni nyumba yako.
Najiuliza tuu itakuwaje kama wameshasajiliwa MAT?Hilo baraza la seneti limejaa wakoloni watupu kwahiyo kama hao madaktari walishaajiriwa makazini ndio wanakuwa sio madaktari tena kwa ajili ya karatasi moja tu ya matokeo?
MAT inasajili wenye vigezo, vigezo vimekoma, uanachama unakoma pia.Najiuliza tuu itakuwaje kama wameshasajiliwa MAT?
Hapo sasa.Unafuta vyeti feki na vyuo kumbe wametoa feki.
Hii nchi ukishajua kuna mambo yako fulani fulani kwenye taasisi rasmi hayajakaa sawa wekeza muda na fedha zako kwenye sekta isiyo rasmi maana mda wowote watu wanapokea posho za kikao cha kukuondoa kwenye ramani na hawatojali litakalokukuta.Acha tuu mkuu sio poaa kabisaa... maamuzi ya ovyoo sana
Biashara si makalio kwamba kila mmoja ana kipaji nayo.Wanirudishie ada nikafungue biashara!