Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Usipende kulalamika, zingatia utaratibu, waliofuta hawakukurupuka, wametumia vifungu na vifungu hivyo wamekutajia.Hilo baraza la seneti limejaa wakoloni watupu kwahiyo kama hao madaktari walishaajiriwa makazini ndio wanakuwa sio madaktari tena kwa ajili ya karatasi moja tu ya matokeo?
NdioIkiwa wanufaika waliendelea na masomo ya juu (Masters, PhD, etc) kwa kutumia transcripts hizo, degree hizo nazo hazitatambuliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo kikuu cha St. Augustine kimebatilisha shahada ilizotoa kwa madaktari 162 waliohitimu chuo cha udaktari cha St. Franscis kuanzia mwaka 2015-2019.
Hilo baraza la seneti limejaa wakoloni watupu kwahiyo kama hao madaktari walishaajiriwa makazini ndio wanakuwa sio madaktari tena kwa ajili ya karatasi moja tu ya matokeo?
Rudisha transcriptKuharibiana tu maisha, wazee wana roho mbaya sana...
Na lenyewe linatakiwa lifukuzwe kwakweli, kosa la miaka 8 iliyopita wanakuja kulitatua leo. Wanatuambia wametupa madaktari wasio na vigezo kututibu miaka 7 sasa.. Upande wa pili mtu alishasettle wanaenda kumtibulia..
Au senete itengue uprofesa wao, vihiyo hawa..
Na lenyewe linatakiwa lifukuzwe kwakweli, kosa la miaka 8 iliyopita wanakuja kulitatua leo. Wanatuambia wametupa madaktari wasio na vigezo kututibu miaka 7 sasa.. Upande wa pili mtu alishasettle wanaenda kumtibulia..
Au senete itengue uprofesa wao, vihiyo hawa..
Mimi hapa nafikiri walitaarifiwa warejeshe lakini wakakaida nafikiri hilo ndilo lililosumbua hasa mpaka wakaamu kuwaweka hadharani moja kwa mojaSenate ya kijinga kabisa. Unafanyaje maamuzi miaka yote sita?. Huoni unaleta sintofahamu. Wamekataa kurudisha transcript mliwapa za Nini? Si mngesubiria hiyo seneti ikae.
Ikiwa wanufaika waliendelea na masomo ya juu (Masters, PhD, etc) kwa kutumia transcripts hizo, degree hizo nazo hazitatambuliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je watawarudishia pesa walizotumia?Soma charters za vyuo. Degree ni mali ya chuo husika. It can be revoked at anytime in case of justifiable abuse. Tafuta kisa cha waziri mmoja wa Ujerumani aliyevuliwa degree baada ya miaka kumi utaelewa.
Kwanini wamekuwa wakizitoa kwa miaka hiyo yote?Nafkiri tunahukumu bila kujua (hata Mimi sijui) ila nahisi hawajaonewa coz tangu 2015 unaambiwa rudisha hutaki maana yake umekaidi, na hizi award za masomo hazimilikiwi na mtu zinamilikiwa na taasisi husika wakiamua kufuta wanafuta tu, kama watoto was 2012 walivyofutiwa kisha wakarekebishiwa [emoji1][emoji1]
tukiacha kila mtu afanye anavyofikiria kichwani mwake mambo hayataenda.taratibu ziko wazi fuata kuepuka usumbufu na kama unadhani degree ni kile tu kilichopo kichwani kazi kwako kama utatumia kichwa kuomba kazi.
Mimi mbona sijaona kama wametoa sababu? Wameeleza ni kwa sababu gani?Mbona naona kama sababu iliyotolewa siyo sababu ya msingi ya kuwafutia digrii zao.
Sasa wakirudisha si ndo mwisho wa Udaktari waoJamani Eeee; Rudisheni makaratasi ya watu mambo yaishe. Mkivutana nao hao watu, watawaharibia. Kubalini yaishe muendelee kutuwekea stethoscope kifuani na kutuchoma sindano. Ni hayo tu. [emoji2089]
unacheti gani wakati kimefutwa au huwa hamuelewi wanaposema digrii zimefutwa?
Si ndio hapo kwa kweli, mimi sijawaelewa kwa hiyo si seneti liwaidhinishe ili mambo yaendelee kama walifaulu mitihani yao? Kama ndio mimi nawapeleka mahakamani.Sio kweli, kwenye hili SAUT wamekosea. Huwezi kumpa mtu cheti ambacho hazijaidhinishwa na Senate. SAUT wametengeneza tatizo sasa wanawadhibu wengine.
Ada, wawafidie na muda waliotumia, fedha za matumizi yaani na kuumizana kisaikolojia,Vipi ada wamerudisha?
Kutorudisha nakala za masomo......
Naomba mtu anieleweshe hapo kosa lipo wapi? Na ina maana chuo inazo orijino lakini inadai nakala (copy) walizonazo wahitimu zirudishwe.
Je kitaaluma imekaaje hii