SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

Hapana mkuu. Sio mwisho wa Udaktari wao. Hizo karatasi zinaweza kuwa zinatakiwa ili kuondoa utata fulani.
TANZANIA kama huna document jua huna degree yoyote yani wew li form six leaver... na huna mahali pa kufanya kazi hata kwa kuibia maana hakuna mtu wa kutake hiyo risk ya kuajiri mtu hana leseni otherwise ni hospital yenu.
 
Chuo kimekosa kabisa namna ya kuwapata mpaka wawafutie,
 
sasa inakuwaje miaka tofauti tofauti vijana wanapewa degree bila seneti kujua kuwa kuna watu hawa wamepewa degree???
 
Umeona, Mtu ambaye hana elimu ya afya anatengeneza fedha kupitia sekta ya afya. Sembuse huyu aliye na elimu ya afya bila cheti? Ni mtazamo tu na namna unavyoamua kufungua mlango mwingine baada ya uliokuwepo kufungwa.
WAWE MADAKTARI FEKI MKUU??
 
Reactions: Tsh
TANZANIA kama huna document jua huna degree yoyote yani wew li form six leaver... na huna mahali pa kufanya kazi hata kwa kuibia maana hakuna mtu wa kutake hiyo risk ya kuajiri mtu hana leseni otherwise ni hospital yenu.
Mwisho wa siku katika maisha jambo la muhimu ni " UTUPE MKATE WETU WA KILA SIKU" hii sentensi haina uhusiano na karatasi la degree.
 
hao senet pamoja na chuo waache figisu,hao madaktari hizo transcript walipewa na nani bila ufahamu na uidhinishaji wa seneti ya chuo
 
Wapo sasa hapa Tanzania ? na hilo Tangazo limetoka lini , why now ?
Hilo sijui. Ila huko waliko inaweza kuwasababishia mtafaruku katika ajira zao -kama wameshaajiriwa au wameomba na wako kwenye list.
Kutolewa kwa Tangazo kipindi hiki (sasa) ndiko kunaleta wasiwasi mkubwa yani ni kana kwamba kuna walengwa
 
TANZANIA kama huna document jua huna degree yoyote yani wew li form six leaver... na huna mahali pa kufanya kazi hata kwa kuibia maana hakuna mtu wa kutake hiyo risk ya kuajiri mtu hana leseni otherwise ni hospital yenu.
Hata kama ni Hospitali ya kwenu, alimradi unatoa huduma(Public service ) cheti ni muhimu kuwa nacho. Lbda iwe ni Hospitali ya Familia i.e. unahudumia familia yako tu.
 
chuo walipewa bura au walisotea nakulipa ada
Hayo mengine utabaki unayajadili wew. Lkn taratibu zinasema elimu ya juu ni mali ya chuo kilichokupa bila kujali ulisoma bure au ulilipia.

Kama ambavyo unaweza kulipia ada ya sekondari miaka minne na ukatoka na zero na usiende kuidai shule ada yako ndo na chuo kiko hivyo hvyo
 
Huyo wa darasa la saba anajua jinsi dawa inavyofanya kazi mwilini au anayajua majina tu?..

Taaluma nyingi bila cheti umeenda na maji..labda kama umesoma degree yako ya kilimo au biashara na ukaamua kujiajiri tu..
 
kwani nikipewa elimu au maarifa chuoni me c na-bakinayo wanaichukuaje hatakama wakiondoka na makaratasi yao
 
Huyo wa darasa la saba anajua jinsi dawa inavyofanya kazi mwilini au anayajua majina tu?..

Taaluma nyingi bila cheti umeenda na maji..labda kama umesoma degree yako ya kilimo au biashara na ukaamua kujiajiri tu..
Haya boss, washauri wakafe njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…