SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

Ndo madhara ya kusoma chuo cha kata, badala ya kuwaadhibu waliotoa hivyo vyeti bila kipitishwa na seneti wanaadhibiwa wanafunzi

Wawarudishie na Tution Fee zao
 
kwani nikipewa elimu au maarifa chuoni me c na-bakinayo wanaichukuaje hatakama wakiondoka na makaratasi yao
Ndiyo wametangaza hadharani sasa,assume ulikuwa umeajiriwa pale Kitengule Hospital si ajira ndiyo inakoma hapo hapo japo una maarifa yako kichwani? Nani ataendelea kukuajiri wakati huna cheti?
 
Wapi utatumia maarifa yako hayo bila cheti? Utasimama mahakama gani kama wakili bila cheti? Utatibu hospitali gani kwa kutumia maarifa bila cheti?
Mkuu, hivi mtu mwenye elimu ya afya na uzoefu wa utendaji ukichukua cheti chake akaamua kufungua zahanati hiyo elimu haitamsaidia?
 
Ndiyo wametangaza hadharani sasa,assume ulikuwa umeajiriwa pale Kitengule Hospital si ajira ndiyo inakoma hapo hapo japo una maarifa yako kichwani? Nani ataendelea kukuajiri wakati huna cheti?
Boss tukumbuke kuna utofauti wa elimu, cheti na kipato. Cheti kinakupa access ya ajira ikiwa ni njia mojawapo ya kuitumia elimu kupata kipato, wamenyang'anywa ila elimu bado wanayo ubongoni kwao na kuna access nyingine za kuitumia hiyo elimu ikakusaidia kutengeneza kipato kwa njia mbadala.
 
Mkuu, hivi mtu mwenye elimu ya afya na uzoefu wa utendaji ukichukua cheti chake akaamua kufungua zahanati hiyo elimu haitamsaidia?
Itamsaidia lakini kwa gharama kubwa sana,atalazimika kutumia mngongo wa mwingine kuendesha Zahanati kwa kulipia cheti tofauti na angekuwa na Cheti chake ambacho kakisotea darasani.

Kwa darasa la saba,kwake kuingia gharama ya kulipia cheti ni sawa kwakuwa hakuwahi kukaa darasani kusotea cheti na alishajiandaa kisaikolojia kuwa lazima atalazimika kuingia hizo garama
 
Reactions: Tsh
Kutorudisha nakala za masomo......
Naomba mtu anieleweshe hapo kosa lipo wapi? Na ina maana chuo inazo orijino lakini inadai nakala (copy) walizonazo wahitimu zirudishwe.

Je kitaaluma imekaaje hii
Suala ni:
1: Kuna nakala inayoendana na matokeo
2: Kuna nakala isiyoendana na matokeo, ilitokaje??

Unaambiwa rudisha hiyo isiyoendane upate inayoendana na hali halisi, unapiga kimwa, unakumbushwa x...
Unapiga kimya.
 
Waliokuwa wanawapa transcript hizo ni akina nani, why hazikuhizinishwa mbona miaka mingi sana 2015- 2019.?
Halafu degree ni karatasi au kilichomo kichwani?Kwani hizo transcripts si chuo waprinti, wazisaini.wawatumie wahusika...wao si wana-access na taarifa zote???
Hilo baraza la seneti nao wanashida....usikute walipiga kura, kumbe kuna issue sio za kura bali ni reasoning tu
 
Mkuu, hivi mtu mwenye elimu ya afya na uzoefu wa utendaji ukichukua cheti chake akaamua kufungua zahanati hiyo elimu haitamsaidia?
Anapaswa awe na leseni. Zahanati hata kama ni ya kwako kama huna cheti huruhusiwi kufanya matibabu yoyote
 
Reactions: Tsh
Na tukubaliane si wote wenye hiyo akili/uwezo wa kutumia njia nyingine kujipatia kipato nnje ya formal ajira inayohitaji upresent cheti chako kwa mwajiri.Wapo watakao venture na kufanikiwa lakini ni wachache.Majority wataathirika
 
Mwisho wa siku katika maisha jambo la muhimu ni " UTUPE MKATE WETU WA KILA SIKU" hii sentensi haina uhusiano na karatasi la degree.
Siku wakikudaka wakaguzi ndo utajua mkate unaweza geuka shubiriii πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Reactions: Tsh
Kabisa itabid waliokula rushwa
 
As long as hiyo elimu itamsaidia basi hajanyang'anywa bado anayo ila Amenyang'anywa access ya ajira kupitia cheti. Maisha yataendelea na huenda kwa uzuri kuliko walivyokuwa na cheti. Wasikate tamaa.
 
Utafanya kimazabe sana labda kwa kujiajiri huko pembezoni sana na ukiingia kwenye 18 za watu ur done. Kwani usajili wako utakuwa umesitishwa. Atakaekuajiri naye ??
 
Kama hapakuwa na ujanja wowote, kwanini wanaogopa kuzirudisha?
Hawa wana lao jambo... sio kuwaita wakoloni
 
Janga hili....tunafanya masihara na mambo muhimu....upuuzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…