Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Sakata la kifo cha Rapa maarufu duniani kutoka Marekani, Tupac Amaru Shakur au kwa jina maarufu 2Pac au Makaveli linaenda kuchukua sura mpya baada ya leo mshukiwa namba moja Keefe D kukiri mbele ya polisi kwamba alihusika na mauaji hayo lakini alitumwa na Rapa P. Diddy kwa ahadi ya dola za Kimarekani milioni moja.
Mapema leo mshukiwa Keefe D amenyoosha maelezo kuwa kweli alihusika na mauaji hayo, na kwamba endapo angefanikisha basi Rapa P. Diddy angemlipa hiko kiasi cha pesa..
Rapa 50 Cent aliwahi kunukuliwa hadharani akisema Rapa P. Diddy ndiye muhusika mkuu wa kifo cha 2Pac, kauli ambayo ameirudia hivi karibuni baada ya Keefe D kutiwa nguvuni..