Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

Kuna zile taarifa zilivumaga sana kwamba 2pac hakufa, bali alifanya Fake death, kisha Akakimbilia Cuba na akabadilisha Sura na ID.

Now day tunaambiwa P. Diddy ndie muhusika wa kifo chake.

Which is which hapa?

Hizi ni Hollywood drama , Rest in Peace 2pac Shakur 🙏🏾
Hata chiddy benz miaka ya juzi hapa alisema amefanya ngoma na 2pac😅😅.

Ila p diddy tumbo joto sidhani kama alitegemea kwamba hili litaibuka.
 
Kuna zile taarifa zilivumaga sana kwamba 2pac hakufa, bali alifanya Fake death, kisha Akakimbilia Cuba na akabadilisha Sura na ID.

Now day tunaambiwa P. Diddy ndie muhusika wa kifo chake.

Which is which hapa?

Hizi ni Hollywood drama , Rest in Peace 2pac Shakur 🙏🏾
Acha kuamini stori za vijiweni
images (5).jpeg
 
Sakata la kifo cha Rapa maarufu duniani kutoka Marekani, Tupac Amaru Shakur au kwa jina maarufu 2Pac au Makaveli linaenda kuchukua sura mpya baada ya leo mshukiwa namba moja Keefe D kukiri mbele ya polisi kwamba alihusika na mauaji hayo lakini alitumwa na Rapa P. Diddy kwa ahadi ya dola za Kimarekani milioni moja.

Mapema leo mshukiwa Keefe D amenyoosha maelezo kuwa kweli alihusika na mauaji hayo, na kwamba endapo angefanikisha basi Rapa P. Diddy angemlipa hiko kiasi cha pesa..

Rapa 50 Cent aliwahi kunukuliwa hadharani akisema Rapa P. Diddy ndiye muhusika mkuu wa kifo cha 2Pac, kauli ambayo ameirudia hivi karibuni baada ya Keefe D kutiwa nguvuni..

View attachment 2779948

View attachment 2779949

View attachment 2779950

View attachment 2779951
Mbona amekataa hapo mwisho anasema "it wasn't me".
 
Back
Top Bottom