Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

Black killing Black.

FB_IMG_1693227076959.jpg
 
Kweli usiangalie muonekano wa mtu, angefanya buster rhymes na jinsi alivyo ingeendana.
Marapa wa Marekani wa kizazi hicho wengi walikuwa ni mafia kutia ndani Sean Combs, Diddy.

Kabla hata ya kifo cha Pac, Diddy alikuwa mshukiwa wa kesi kadhaa za aina hii jamaa alikuwa jeuri sana enzi East Coast wana bifu na West Coast kwa sababu alianza kuvuta mkwanja mrefu kitambo akiwa bado chalii tu.

Kwenye ngoma ya All I Do Is Win remix kuna sehemu alisema

I got a billion reasons you should know my whole name
Got the most paper Mr. New York Times
I'm a natural born winner nigga New York mines
Everybody getting money but I cop the first six
 
Dzaini hakumaliza
Kwa asili ya hao jamaa kama didy angetaka kubaki hai asingethubutu kuacha kummalizia hiyo hela.

Shida hakujipanga vizuri ilibidi atafute msiri mwengine amuue huyu na anayemuua nae auawe ili kujenga chain ndefu ya investigation,yaani mpaka waje kung'amua yupi ni yupi isingekuwa leo.
 
2Pac alihusika kwenye mauwaji ya B.I.G Pac tayari keshavuna alichopanda,Suge Knight kavuna,Puffy nae atavuna,muhanga ni B.I.G.
2pac kahusika vipi katika mauaji ya B.I.G wakati yeye ndiye aliyetangulia kuuwawa kabla ya Notorios? Labda useme outlawz wamehusika katika mauaji ya B.I.G kidogo inaweza make sense!!!
 
Back
Top Bottom