Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

Kwa asili ya hao jamaa kama didy angetaka kubaki hai asingethubutu kuacha kummalizia hiyo hela.

Shida hakujipanga vizuri ilibidi atafute msiri mwengine amuue huyu na anayemuua nae auawe ili kujenga chain ndefu ya investigation,yaani mpaka waje kung'amua yupi ni yupi isingekuwa leo.
Didy alitoa Dola laki tano tu
 
Sakata la kifo cha Rapa maarufu duniani kutoka Marekani, Tupac Amaru Shakur au kwa jina maarufu 2Pac au Makaveli linaenda kuchukua sura mpya baada ya leo mshukiwa namba moja Keefe D kukiri mbele ya polisi kwamba alihusika na mauaji hayo lakini alitumwa na Rapa P. Diddy kwa ahadi ya dola za Kimarekani milioni moja.

Mapema leo mshukiwa Keefe D amenyoosha maelezo kuwa kweli alihusika na mauaji hayo, na kwamba endapo angefanikisha basi Rapa P. Diddy angemlipa hiko kiasi cha pesa..

Rapa 50 Cent aliwahi kunukuliwa hadharani akisema Rapa P. Diddy ndiye muhusika mkuu wa kifo cha 2Pac, kauli ambayo ameirudia hivi karibuni baada ya Keefe D kutiwa nguvuni..

View attachment 2779948

View attachment 2779949

View attachment 2779950

View attachment 2779951
Hii kesi didy atachomoka kama kweli akiensa mahakamani. Anayemhoji is leading him nadhani kwenye cross examination haiwezi stand.
Halafu nasikia jamaa kaingia deal ili apunguziwe mashtaka yake ya dawa za kulevya so he would give them anything.
 
Poa,wahuni wa tisini tulikua tunaamini serikali ilihusika kuwaua Tupac na Big ili kuzima ushawishi wa muziki wa mtu mweusi,rap... FBI walikua wanazunguka tu na Kuna police black alikua akiwekewa vizingiti kuchunguza,nimeona habari kwamba didy aliwahonga FBI wasichunguze
Duuh!
 
Inawezekana pia.
 
Back
Top Bottom