Kaghambe
JF-Expert Member
- Oct 8, 2023
- 588
- 716
Ndio maana 50 cent anasemaga luwa diddy kamuua pac bila kupepesa ukumbuke hilo goma ni la 50 cent i got money remix hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana 50 cent anasemaga luwa diddy kamuua pac bila kupepesa ukumbuke hilo goma ni la 50 cent i got money remix hiyo.
Sakata la kifo cha Rapa maarufu duniani kutoka Marekani, Tupac Amaru Shakur au kwa jina maarufu 2Pac au Makaveli linaenda kuchukua sura mpya baada ya leo mshukiwa namba moja Keefe D kukiri mbele ya polisi kwamba alihusika na mauaji hayo lakini alitumwa na Rapa P. Diddy kwa ahadi ya dola za Kimarekani milioni moja.
Mapema leo mshukiwa Keefe D amenyoosha maelezo kuwa kweli alihusika na mauaji hayo, na kwamba endapo angefanikisha basi Rapa P. Diddy angemlipa hiko kiasi cha pesa..
Rapa 50 Cent aliwahi kunukuliwa hadharani akisema Rapa P. Diddy ndiye muhusika mkuu wa kifo cha 2Pac, kauli ambayo ameirudia hivi karibuni baada ya Keefe D kutiwa nguvuni..
View attachment 2779948
View attachment 2779949
View attachment 2779950
View attachment 2779951
Duh!....Sakata la kifo cha Rapa maarufu duniani kutoka Marekani, Tupac Amaru Shakur au kwa jina maarufu 2Pac au Makaveli linaenda kuchukua sura mpya baada ya leo mshukiwa namba moja Keefe D kukiri mbele ya polisi kwamba alihusika na mauaji hayo lakini alitumwa na Rapa P. Diddy kwa ahadi ya dola za Kimarekani milioni moja.
Mapema leo mshukiwa Keefe D amenyoosha maelezo kuwa kweli alihusika na mauaji hayo, na kwamba endapo angefanikisha basi Rapa P. Diddy angemlipa hiko kiasi cha pesa..
Rapa 50 Cent aliwahi kunukuliwa hadharani akisema Rapa P. Diddy ndiye muhusika mkuu wa kifo cha 2Pac, kauli ambayo ameirudia hivi karibuni baada ya Keefe D kutiwa nguvuni..
View attachment 2779948
View attachment 2779949
View attachment 2779950
View attachment 2779951
na vipi kaburi lake halijulikani lilipo?Rudi kwenye eneo la TUKIO Polisi aliyekuwa eneo latukio alitoa maelezo kuhusu TUKIO Zima.
Ila Sasa baada ya pac kupigwa shaba kwann walidelay naye pale chini na Sio kumuwahisha Hospitali.
Mkono mweupe pia upo ndani.
2Pac alihusika kwenye mauwaji ya B.I.G Pac tayari keshavuna alichopanda,Suge Knight kavuna,Puffy nae atavuna,muhanga ni B.I.G.
Hiyo ni trend inayotengenezwa kwa watu ambao ni icon waliokuwa na ushawishi ili kutuliza pressure kwa die hard fans wawe na hope.Kuna zile taarifa zilivumaga sana kwamba 2pac hakufa, bali alifanya Fake death, kisha Akakimbilia Cuba na akabadilisha Sura na ID.
Now day tunaambiwa P. Diddy ndie muhusika wa kifo chake.
Which is which hapa?
Hizi ni Hollywood drama , Rest in Peace 2pac Shakur 🙏🏾
Bado naona kuna mengi. Sioni pia namna gani diddy atashikwa, unless kama upo ushahidi wa kumuimplicate.
Akiserve hili, atakuwa na hatari zaidi ya kuuliwa na 'wanazi' wa Tupac.
That's how negroes live in US..Wanakukuza wanakufilisi wanakumaliza
[emoji106]Damu ya mtu haiendi bure....atalipa hapa hapa
HavocHata chiddy benz miaka ya juzi hapa alisema amefanya ngoma na 2pac[emoji28][emoji28].
Ila p diddy tumbo joto sidhani kama alitegemea kwamba hili litaibuka.
[emoji7]Damu ya mtu haiendi bure
Watajuaje Hili gereza akuna mashabik zake na Hili wapo?Magereza zipo nyingi mkuu si lazima akafungww walipo maadui zake hiyo si movie. Ila kufa atafia mtaani pona yake aende gerezani.
Wale vijana wa OutLaws walio baki hai ni Napoleon wake wakina Kadafi,Kastro, Saddam Hussein, E.D.I.Mean na wengine walio nje ya hiyo Mobb waliuawa tena wengine waliuawa mwaka huo huo aliokufa Pac ndio maana ushahidi wa kweli umechelewa huyu jamaa alikua anaweweseka mwenyewe kila akiongea kwenye media kuhusu hayo mauaji ndio maana ikawa rahisi kupata ukweli...50 Cent aliwahi mwambia Diddy yafuta Lawyer kwenye Murder Case ya Pac kitambo kidogo na Eminen ashawahi kuimba kipande akizungumzia Diddy kuhusika na hayo mauaji enzi hizo Sugar Night ndio anasumbuliwa na Uchunguzi ikabidi awekwe kiporo ili wafanye uchunguzi zaidi na kila wakiangalia video za barabarani hawaoni picha ya aliepiga risasi kumuua Pac ngoja tuendelee kusubiri Diddy ataeleza yote...Kwa asili ya hao jamaa kama didy angetaka kubaki hai asingethubutu kuacha kummalizia hiyo hela.
Shida hakujipanga vizuri ilibidi atafute msiri mwengine amuue huyu na anayemuua nae auawe ili kujenga chain ndefu ya investigation,yaani mpaka waje kung'amua yupi ni yupi isingekuwa leo.
Akili za wapi hizi?Netanyahu anawabong’olesha wavaa ushungi 🤣🤣