Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

Kitu pekee kitakachomuoka puff kweny huu msala ni "kufake kifo chake then apotee jumla"
 
Faiza kaenda mambele miaka ya 80, kaishi canada na usa sasa sijui mnachoshindania ni nini hasa, na huku bongo katokea ushuani na si unajua masaki na obey za zamani zilivyokuwa
Miaka ya 80? Wewe unaamini Faiza ni mtu mzima?
 
Kwenye lile tukio la kwanza la kupigwa risasi Tupac pale quad studio New York mwaka 1994 pi Diddy alikuwepo kwenye mazingira yale,baada ya lile shambulio big poppa akatoa ngoma inayoitwa "Who Shot Ya"
Na hii nyimbo ndio iliyoleta uhasama wa BIG na 2pac, Na biggie hakwenda hospital kumuona 2pac
 
Najaribu kuwaza tu....

hii nchi ina drama nyingi sana...

Pamoja na intelijensia yao yote inayosifika duniani...

Wana dynamic accessories za uchunguzi wa haya mambo ya mauaji....

Wameshindwaje kutambua hili kwa zaidi ya miaka almost 17!?...

Na ushahidi kama huu uliokuwa ukitolewa(hadharani )na mainstream rappers.... walishindwa kuufanyia kazi!?

Maana kwenye investigation yoyote ile... hata taarifa ionekane ya kipuuzi namna Gani kwa umma... lakini inahusiana na tukio....

kwenye serious investigation ina maana kubwa sana!
 
Alocation za wafungwa magerezani zinazingatia yote hayo kwajili ya usalama wa Wafungwa so usiulize.
Hivi inaezekana mtoto wa askari akafungwa gereza analofanyia kazi baba ake?
Ukipata jibu ndo ujue wanajuaje.
Baba ni Baba inajulikana shabik wa Simba kajichomeka kwa mashabik wa yanga atajulikana vipi?
 
Back
Top Bottom