Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 Anaweza akabishaB.I.G alikufa baada ya 2pac mkuu
Nyie ndio wavuta bangi mnaoamini Pac hakufa anaishi mpaka leoHuu ni mpango wa kuwamaliza blacks wote marekani kutoka kwenye umaarufu...
No more Whitney...
No more Michael...
No more R Kelly...
Soon Diddy is gonna be no more..
No more will come and come for blacks..
Ubaguzi wa rangi ni mkubwa Sanaa.....
Shtukenii.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣We endelea kufuatilia SIHASA tu, haya mambo mengine kubali yakupite.
Sauti ya watanzania wanaendeleaje na show yao?
P. Diddy ni Mwafrika..?Angekuwa mzungu akepona ila kwa vile mwafrica na ana mafsnikio lazima wamnyoshe kama Rkelly
Et "yule K si huyu"Akina Tupac walimuona nje,Suge knight akamwambia Tupac yule k.ma si ndo huyu,Tupac alipiga Kama anajua mwizi,dogo alianguka chini,yaani alikua anakita so mchezo,dogo aliitwa Orlando
Miaka ya 80? Wewe unaamini Faiza ni mtu mzima?Faiza kaenda mambele miaka ya 80, kaishi canada na usa sasa sijui mnachoshindania ni nini hasa, na huku bongo katokea ushuani na si unajua masaki na obey za zamani zilivyokuwa
Alianza kufa Tupac September 1996 Big kafa march 19972Pac alihusika kwenye mauwaji ya B.I.G Pac tayari keshavuna alichopanda,Suge Knight kavuna,Puffy nae atavuna,muhanga ni B.I.G.
Wanaropokaga tu hao !!B.I.G alikufa baada ya 2pac mkuu
Kwani ukikaa kimya tukabaki wachache tunaofahamu tatizo lako la akili utapungukiwa na nini? Acha kujivua nguo mtandaoniKamama kaongo haka!! Ndiyo maana kanamfagilia huyo mwongo mwenzake
Ni AjuzaMiaka ya 80? Wewe unaamini Faiza ni mtu mzima?
Diddy wakati anaitwa Puff Daddy alikuwa nomaYani kama mim hao wawili sijawai wakubali kbsa
Suluhu anataka vayolensi[emoji23]Kwani ukikaa kimya tukabaki wachache tunaofahamu tatizo lako la akili utapungukiwa na nini? Acha kujivua nguo mtandaoni
Una uhakika au mifuta bangi inataka kumuaribia tuP didy mshenzi sana
Na hii nyimbo ndio iliyoleta uhasama wa BIG na 2pac, Na biggie hakwenda hospital kumuona 2pacKwenye lile tukio la kwanza la kupigwa risasi Tupac pale quad studio New York mwaka 1994 pi Diddy alikuwepo kwenye mazingira yale,baada ya lile shambulio big poppa akatoa ngoma inayoitwa "Who Shot Ya"
Baba ni Baba inajulikana shabik wa Simba kajichomeka kwa mashabik wa yanga atajulikana vipi?Alocation za wafungwa magerezani zinazingatia yote hayo kwajili ya usalama wa Wafungwa so usiulize.
Hivi inaezekana mtoto wa askari akafungwa gereza analofanyia kazi baba ake?
Ukipata jibu ndo ujue wanajuaje.
😂😂😂😂Daaa kwani kati ya BIG na 2pac nani alianza kufa ?2Pac alihusika kwenye mauwaji ya B.I.G Pac tayari keshavuna alichopanda,Suge Knight kavuna,Puffy nae atavuna,muhanga ni B.I.G.