Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

Kwa asili ya hao jamaa kama didy angetaka kubaki hai asingethubutu kuacha kummalizia hiyo hela.

Shida hakujipanga vizuri ilibidi atafute msiri mwengine amuue huyu na anayemuua nae auawe ili kujenga chain ndefu ya investigation,yaani mpaka waje kung'amua yupi ni yupi isingekuwa leo.
Unavyosema utadhani ni kuua paka
 
Sakata la kifo cha Rapa maarufu duniani kutoka Marekani, Tupac Amaru Shakur au kwa jina maarufu 2Pac au Makaveli linaenda kuchukua sura mpya baada ya leo mshukiwa namba moja Keefe D kukiri mbele ya polisi kwamba alihusika na mauaji hayo lakini alitumwa na Rapa P. Diddy kwa ahadi ya dola za Kimarekani milioni moja.

Mapema leo mshukiwa Keefe D amenyoosha maelezo kuwa kweli alihusika na mauaji hayo, na kwamba endapo angefanikisha basi Rapa P. Diddy angemlipa hiko kiasi cha pesa..

Rapa 50 Cent aliwahi kunukuliwa hadharani akisema Rapa P. Diddy ndiye muhusika mkuu wa kifo cha 2Pac, kauli ambayo ameirudia hivi karibuni baada ya Keefe D kutiwa nguvuni..

View attachment 2779948

View attachment 2779949

View attachment 2779950

View attachment 2779951

Diddy chose to be a bad guy.
 
Usikute label ya bad boy ndio iliazimia mauaji hayo, na didy kama afisa kwenye label hiyo akawa msimamizi wa kazi hiyo.

Jambo silielewi, kuendelea kuwa hai kwa huyu assassin kwa miaka yote hii, ni kinyume kabisa na uenendaji wa mauji ya kukodi.

Bado naona kuna mengi. Sioni pia namna gani diddy atashikwa, unless kama upo ushahidi wa kumuimplicate.

Akiserve hili, atakuwa na hatari zaidi ya kuuliwa na 'wanazi' wa Tupac.
Wamkamate tu brother Love. In 50 cent voice
 
Back
Top Bottom