Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Sakata la kifo cha Rapa maarufu duniani kutoka Marekani, Tupac Amaru Shakur au kwa jina maarufu 2Pac au Makaveli linaenda kuchukua sura mpya baada ya leo mshukiwa namba moja Keefe D kukiri mbele ya polisi kwamba alihusika na mauaji hayo lakini alitumwa na Rapa P. Diddy kwa ahadi ya dola za Kimarekani milioni moja.

Mapema leo mshukiwa Keefe D amenyoosha maelezo kuwa kweli alihusika na mauaji hayo, na kwamba endapo angefanikisha basi Rapa P. Diddy angemlipa hiko kiasi cha pesa..

Rapa 50 Cent aliwahi kunukuliwa hadharani akisema Rapa P. Diddy ndiye muhusika mkuu wa kifo cha 2Pac, kauli ambayo ameirudia hivi karibuni baada ya Keefe D kutiwa nguvuni..

Your browser is not able to display this video.






 
hataree sana aisee
 
50Cent akimtuhumu P. Diddy kuhusika na kifo cha 2Pac.
Your browser is not able to display this video.


Eminem naye kwenye moja ya mistari yake aliwahi kumhusisha P. Diddy na kifo cha 2Pac.


P. Diddy akikataa katakata kuhusika na kifo cha 2Pac.
Your browser is not able to display this video.
 
Damu ya mtu haiendi bure....atalipa hapa hapa
 
Kuna zile taarifa zilivumaga sana kwamba 2pac hakufa, bali alifanya Fake death, kisha Akakimbilia Cuba na akabadilisha Sura na ID.

Now day tunaambiwa P. Diddy ndie muhusika wa kifo chake.

Which is which hapa?

Hizi ni Hollywood drama , Rest in Peace 2pac Shakur 🙏🏾
 
Kwahiyo ukaamini story za kwenye vijiwe vya kahawa?????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…