Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

Kweli sikupingi kabisa, ukiangalia maeneo yote wata fanya show na sio kenya why? On top of that wamesema wata release album yao walio fanya pamoja [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wana cheza na akili zetu hawa
Iyo ni marketing kaka wewe umeelewa vizuri
 
Labda wameenda kwenye route ya destiny's child , walitengana lakini baada ya kufanya tour na last album. Naona kwa USA ni kawaida na baada ya miaka flani wanafanya reunion tour.

la ulichoongea kina maana pia lakini wanaweza fanya hiyo issue kuvutia global audience
 
Hao mashabiki ni mazuzu

Eti mashabiki wagoma,

Ova
 
Hapo msanii ni Bien na Yule Guitarist wao anaitwa Fingure Guitar Nadhani.


The rest ndio mwisho wao wakatafute cha kufanya

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…