Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

Kweli sikupingi kabisa, ukiangalia maeneo yote wata fanya show na sio kenya why? On top of that wamesema wata release album yao walio fanya pamoja [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wana cheza na akili zetu hawa
Iyo ni marketing kaka wewe umeelewa vizuri
 
Ndio, na kuna mahali nimekuta wana sema huenda hata hawana nia ya kuja kundi ila wametangaza hivyo ili kuweka attention kwen tour yao hiyo na kupata audience kubwa, yaani marketing strategy coz ukiangalia hata kenya tu hakuna sehem wata fanya show, on top of that wamesema wata release album yao ya mwisho waliyo fanya pamoja hapo ndo napata picha ya juu kua n mpango tu na sio kwel
Labda wameenda kwenye route ya destiny's child , walitengana lakini baada ya kufanya tour na last album. Naona kwa USA ni kawaida na baada ya miaka flani wanafanya reunion tour.

la ulichoongea kina maana pia lakini wanaweza fanya hiyo issue kuvutia global audience
 
Hao mashabiki ni mazuzu

Eti mashabiki wagoma,

Ova
 
Back
Top Bottom