SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Nimekutana na habari hii hapa jamvini,
Ndugu zangu, mabibi na mabwana, vijana na watoto, "Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'sacrifice' maisha yangu kwa ajili ya Watanzania maskini."
Hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Raisi wa Tanzania mpendwa Hayati John Pombe Magufuli.
Ni hivi, mwishoni mwa mwezi uliopita, uchambuzi makini na wa kina wa tafiti za kisayansi zinazoangalia ufanisi wa barakoa zilichapishwa na mtaalamu wa magonjwa ya Oxford ambaye alikiri kuwa katu katu kuwa, mdomo uliowekwa plastiki na pazia za pua (barakoa) hazina maana (Certifiably Useless).
"Hakuna ushahidi wowote kwamba yanafanya chochote." Mtakumbuka Hayati alifanya utafiti wake ambao ulikemewa, ulikejeliwa na kudumazwa kwa nguvu kubwa kutoka ndani na nje ya nchi, famously mbuzi ana korona!
Hivi karibuni Mtaalam wa Magonjwa ya Kuambukiza wa Oxford Jefferson na wenzake 11 kwa pamoja na Shirika la Uingereza Cochrane(a non-profit org) ambalo linachukuliwa kuwa la kiwango cha dhahabu cha ukaguzi wa data za huduma za afya walisema;
"Tafiti" ambazo serikali ilizitaja kama "ushahidi" kwamba barakoa zinafanya kazi, kwamba zote ni fisadi na kamwe hazikupaswa kukubaliwa kama "sayansi nzuri". Alisema Jeferson.
Bwana Jefferson aliulizwa, kuhusu serikali na vyombo vingine vya dola, nabandika hapa kiunagaubaga. Alisema, "Walishawishika na tafiti zisizo na mpangilio, ikiwa na pamoja na masomo ya uchunguzi yenye dosari," alielezea.
Vipi kuhusu kutumia barakoa kwa kushirikiana na miongozo mingine inayopendekezwa kama kunawa mikono kupita kiasi, "social distancing," n.k, "Hakuna ushahidi kwamba mambo haya yanaleta mabadiliko yoyote. There’s no evidence that many of these things make any difference.”
Kwa kifupi, ukaguzi ulibaini kuwa mamlaka ya barakoa (mask mandates) hayakuwa bora zaidi katika suala zima la Visa vya Uviko-19 kulazwa hospitalini na vifo. Barakoa ni ishara tu ya kisiasa, kwa maneno mengine, hayapunguzi makali ya Korona wala kusaidia katika matibabu.
Haijalishi ni aina gani ya barakoa anayotumia mtu, madhara yake ni yale yale; hafanyi chochote isipokuwa kufanya upumuaji kuwa mgumu zaidi, bila kusahau sumu yoyote iliyopo katika nyenzo zake.
Mtakumbuka Hayati aligusia kuhusu uwezekano wa hizo barakoa, vipimo na hata kinga kuwa na "Mavitu" ya kila aina ambayo hatuyajui!
Wandugu wote, haya ambayo ninanuku ndiyo yale niliyotaka kusema hapa, kuwa; Lakini 'kufanya kitu' sio sayansi, na haikupaswa kuwa sera ya umma. Na watu waliokuwa na ujasiri wa kusema mengi walistahili kusikilizwa, hawakutendewa haki na wanaweza wasipate msamaha wanaostahili, lakini uthibitisho unapaswa kuwa wa kutosha."
Amani iwafikie nyote
Kwa zaidi bofya hapa