Sauti ya Hayati Magufuli ikisema "Mtanikumbuka" yasikika tena, safari hii kwenye Uviko

Hakuna kama magu jaman iko wazi
Katika covid who wamejifunza sana kwake

Alikuwa akitamka jambo leo who watalirudia kesho kuumgana naye

Mfano ishu ya kuizoea na kuishi nayo covid
Ishu ya kupiga dawa mtaani
Ishu ya vifaa kutoa majibu ya uongo

Nanmengineyo mengiiiii

Pumzika.kwa amani mwamba


Rais
Ajaye ambaye atafata walau kwa kias


Majaliwa kasimu for president
Dr bashiru. For prime minister
 
Acheni ushabiki wa kijinga. Kupuuza kwake corona kulimpeleka ahera. Korona ipo na inaua.. fuateni ushauri wa wanasayansi. Kiburi huja kabla ya kuanguka.
Tuheshimiane.

Hiyo habari sijaandika mimi na huo utafiti sijafanya mimi. Nimeleta habari/taarifa ambayo ilikuwepo humu jamvini, vilevile New York Taim.....
Kwa ulivyoandika/kujibu kwako inaonekana hujachukua mda hata wa kusoma kilichowasilishwa.


Tafadhali. Wacha ugaidi.
 
Yule MUNGU aliona isiwe shida huwezi kutesa watoto wangu namna hii.
Hakuna mungu wa visasi.
Agano la Zamani ndio hivyo, ni la zamani. Soma Joshua 24:15
Numbers:15-1

Amani ikufikie katika kwaresma.
 
huyo shetan wenu mnasemaga tumuache apumzike,mara tuna mimba zake,mna hamu tumtusi
 
Kwenye royo tuwa MAMA Bhoke alipuyanga kutaja sababu tofauti kama chanzo cha kifo.
Alipuyanga kishenzi.
 
Muda Wowote Elon Musk anatoa taarifa kuhusu COVID-19 kua ni scam project !! Kwaajili ya Bilionea Fulani kupiga Hela.
 
Sasa wajinga walikuwa kina nani ndugu mtumishi?

Mliambiwa wapi kumuabudu? Ningependa kupata uthibitisho wa aidha tamko au maneno yake akitoa hilo agizo. Pia alisema msipofanya hivyo anawaua?

Binadamu wengine matope kabisa. Hamjui hata mlitakalo. Endeleeni na maisha basi ashaondoka tutaona kama Watanzania wataishi maisha mnayoyasema. Siku hizi hakuna hata dira wala sera za vyama vya siasa. Kila upande uko busy kumtukana Magufuli huku wananchi wanalala njaa.

Uhuru na demokrasia mnafikiri ndicho chakula cha wananchi. Mmepewa majukwaa hatuoni la maana isipokuwa kumtukana Mtukufu Hayati Magufuli.

Nchi gani hii?????? Nchi imejaa machawa kila mahali. Kila siku kusifia. Mtu akikohoa wanasifia anakohoa vizuri. Mtu akikaa anasifia ati mkao wake mzuri kweli. Loh! Nchi yangu Tanzania.

R.I.P JPM!
 
Pamoja na ulinzi wote ule yule bwana hakumwamini mtu au daktari yeyote zaidi ya waganga wa kienyeji labda aulizwe mke wake mama janeti kuhusu hiyo thallium.
 
Usalama wale aliusimamia yeye mwenyewe kwahiyo kama walimsaliti hilo halituhusu.
Huyo kima ndio alimsaliti na analindwa sahizi sababu wajuba wote PS ya JPM lazma watakuwa wanaelewa nini kilifanyika.
 
Hata mtu akomaze [emoji3517] fuvu lake, hayati alikua mtu na robo tatu sema basi tu siasa zake ndio zilikua gozigozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…